Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,970
- 177,190
Huyo Akikukwida huchomoii😁😁Kweli ankal? Mi nilishangaa mwanamke gani ana mpaka kudude cha shingoni kile!!! 😂😂😂
Huyo Akikukwida huchomoii😁😁Kweli ankal? Mi nilishangaa mwanamke gani ana mpaka kudude cha shingoni kile!!! 😂😂😂
Sina.Wee nionyeshe ulivyovaa khanga moko mrembo
Sina.Wee nionyeshe ulivyovaa khanga moko mrembo
Kaka Loveness akikukwida mkono hutokiii😁😁Mke wa Lovness Tarimo AjitokezaTazama mpaka mwisho.
Hii nchi watu washaifanya kama chapati wanaigeuza wanavyotaka
Kumbe Loveness Tarimo ana mke canada na wana mtoto kabisa.. Huku kuja bongo katoroshwa na mzungu aolewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitoka nitaingia lakini soon, bando lenyewe la jero hiliNakutafuta insta sikuoni![]()


Waje kutubles asee kitambo sana ! Tena Leo wakija wapite naked kabisa!
Nipite, nimejichoka? Utaniacha sasa!!! 😂😂😂Naskia skia umepita
Ngoja nimalize shughuli za shamba nianze kutupia picha yangu 🤪
Īhaha bayanda mugūzwaga mvī mutalī bana bado gete. Ūnenīhaha nalīnamyaka makūmi mpungatī na kenda alīyo nalī na dūvī dūdo doheshima heshima guke 💪😁Shabhodogo Shenesho..(Shabhokoo)
Mpk taya na kidevu cha kiume wee subutuu!!Huyo Akikukwida huchomoii😁😁
Umetisha sana kumleta my wetuNtiluseswa mzeiya wa kupita naked hajiulizi mara mbiliiii ,🤠
Mbona naona udugu anakusifiaNipite, nimejichoka? Utaniacha sasa!!!
Sitaki kutenguliwa kiuno na mitama mie Akuu![]()


Fanya hivoo babuu!Ngoja nimalize shughuli za shamba nianze kutupia picha yangu 🤪
Niungie na me bundle! Si unajua niko vijijini huku 😂😂😂Nilitoka nitaingia lakini soon, bando lenyewe la jero hili![]()
Udugu bado mgeni naye hujamzoea?? 😂Mbona naona udugu anakusifia![]()
Ww boss mkubwa sana mjiniNiungie na me bundle! Si unajua niko vijijini huku![]()


Nauza visheti pesa natoa wapi? 😂😂😂Ww boss mkubwa sana mjini![]()