Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,318
- 95,686
MV , Maersk Alabama
MV , Maersk Alabama
Em huko, ndo meza ziwe km machinjio ya vibudu pale mbezi stefoli? KhaaahHapa sio mashindano ya meza mjukuu ni kijiwe cha kutoa lock [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 bila hekaheka haunogiAcha ukorofii uduguuu huu uzi hatutaki hekaheka mjue!!
Tupie mafotoo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muachee babuu miga, wee mbna mkorofiii?? Ntakubondaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema babu anachekesha
Hebu arudi tuendelee kumtania sie
Nimemiss miosho yake [emoji1787]
Nifowadie pm🤪Hata ninalo sasa? 😂😂😂
Mifupa mitupu imejaa
Aisee!! Poleni sana
Uzuri wa shughuli hekaheka😂😂😂😂 bila hekaheka haunogi
Me namkaribisha babu mi nimemmiso kweri kwerii
Yutongs za Shimba ya Buyenze heavyweighttttt
Kuna jambo limenishtua nilivyoonaMV , Maersk Alabama
Babu miga asababishe ile mindinga ya ku download 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muachee babuu miga, wee mbna mkorofiii?? Ntakubondaa.
Thubutuuuu!! Mtoto mashallah! Umekamilika kila idara!Hata ninalo sasa? 😂😂😂
Mifupa mitupu imejaa
Mungu ni mwema sanaSijambo aunt. How u doing...
-Kaveli-
Si ndo hapo sasa!! Ya nini kukaa ukiwa km tuko msibani? 😂😂😂😂Uzuri wa shughuli hekaheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kwann unanifanya niwe wa uswazii? Ba tamu anataka niwe km wa Masaki.Babu miga asababishe ile mindinga ya ku download [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mipicha ya warembo worldwide km yote
Weee uduguu kushinda insta kwiooo chimbo letu limerudi hakuna kuondokaaa! 🕺🕺😁😁🤣😂😂😂😂 Mi mwenyewe nakaribia kustaafu hekaheka! Ss hivi nashinda insta na Kantry
Halahala uzi usifungwe tu😁!Si ndo hapo sasa!! Ya nini kukaa ukiwa km tuko msibani? 😂😂😂😂
Michachuo lazima
😂😂😂 mifupa?Nifowadie pm🤪