Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,174
- 10,445
Tupia full . Prove wrong
Totally wrong
Totally wrong
Weee sema kweliHuo mkono unaye mshika anafaidi. Ingekuwa mimi nazima kabisa🤣🤣
Wee mwenyewe shahidi. Anainjoi sana. Sema basi tu wamewahi. Ngoja nitafute whisky nisiwaze🤣🤣Weee sema kweli
Jf Kwa kujaza watu nyie kama kweli vile
😁
Weee kumbe anainjoy sana😁Wee mwenyewe shahidi. Anainjoi sana. Sema basi tu wamewahi. Ngoja nitafute whisky nisiwaze🤣🤣
Basi suka twende kilioniWeee kumbe anainjoy sana
Ukute ndomana ananipenda sana hanisahau hata aende wapi!
Sema sijasuka lile Brazilian


amakuru maki' mutaama!Kigoma hapa ndugu
Dokta Tupia na kafoto ka direct toka gallery kasiwe ka screenshot ya insta!Happy birthday to me.
Ahaaaa badae kidogo zitashuka nyingiDokta Tupia na kafoto ka direct toka gallery kasiwe ka screenshot ya insta!
Brazilian Virgin whaaaaaaaaaaaaaat 🔥🔥😄Wee mchawi ninii😁
Kuna muda nilichukua nikaiangaliaaaaaaaaaaa!
Nameza yemugaamakuru maki' mutaama!
Mojawapo kati ya watu walioona comment yako na kuipuuza nilikuwa Mimi.Mi nilisemaga ugomvi wote ule mdada anampenda mno jamaaa mkanibishiaNdio maana ugomvi ulikuwa hauishii
Umeshafanya kwa nafasi yako,Sawaa mwayaa enjoy mapenzi yako, nimekoma na kujuta kabisaaa.
Wee wa kunidharirisha hivi? Jamani nini hikii c uchuro huu.
Shida sio wee kurudiana nae, ni sisi tulio nyuma yako tulokupa back up wakat wa vita, nguvu zetu zote kumbe buree.
Jaman nn hiki kwangu c naonekana boyaa tyuuh, ahsantee kwa kunishusha kiasi hikiii.
Poaaa poaaa.
Mbona kama nawajuaNi kamzozo.View attachment 2851551
ikigoma ya hehe mgabhoNameza yemuga
Huhuuuuu mniombe msamaha 😂😂Mojawapo kati ya watu walioona comment yako na kuipuuza nilikuwa Mimi.
Unisamehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisamehe sana Dina kwa kweliHuhuuuuu mniombe msamaha 😂😂
Tupia photoHuhuuuuu mniombe msamaha 😂😂