Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

20231224_085646.jpg
20231224_085849.jpg
 
Mnashangaa nini vipenzi?? Wapi iko shida???

Nacheka hadi nakaukaaaa huku mjue hebu muacheni mkaka wawatu hana shida na mtu walaa!
Sawaa mwayaa enjoy mapenzi yako, nimekoma na kujuta kabisaaa.

Wee wa kunidharirisha hivi? Jamani nini hikii c uchuro huu.
Shida sio wee kurudiana nae, ni sisi tulio nyuma yako tulokupa back up wakat wa vita, nguvu zetu zote kumbe buree.

Jaman nn hiki kwangu c naonekana boyaa tyuuh, ahsantee kwa kunishusha kiasi hikiii.

Poaaa poaaa.
 
Coca anishangaa miee na Smart kipenziii hahahaaa..

Nacheeeeeeka kama kichaa mimi iuwiiii!

Mark the date its Desemba 2023!
Tobaaaah wee!! Natamani kushusha gazeti ili akili ikukaee vzur, nweiiii nshakumbukaa maneno ya wake wenzaa wakat ulee nilidhani uongoo, kumbee kweliii.

Sikua nakufahamu vzur, woiiiiiiiih
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom