Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Afu ananijibu mie "eti smart kaku kosea wapi?" Mara "sio shida zenyu hizo mie sifundishwi mapenzi mie na uhenga wangu huu"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa, japo nasikitika, nweiii nimejifunzaa kitu pia ktk maisha.
🤣🤣🤣🤣
Antonnia
Najua unatania ni story za jf tu
Nacheka
 
Tobaaaah wee!! Natamani kushusha gazeti ili akili ikukaee vzur, nweiiii nshakumbukaa maneno ya wake wenzaa wakat ulee nilidhani uongoo, kumbee kweliii.

Sikua nakufahamu vzur, woiiiiiiiih
🤭🤔😅
Kumekucha Tena
 
Tobaaaah wee!! Natamani kushusha gazeti ili akili ikukaee vzur, nweiiii nshakumbukaa maneno ya wake wenzaa wakat ulee nilidhani uongoo, kumbee kweliii.

Sikua nakufahamu vzur, woiiiiiiiih
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭
 
Mwambie cocastic ananiua mbavuuu hukuuuu

Jf sihamiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1783]!
Yaan shouzzz hujui tyuuh, ungejua cdhani hata ungepata muda wa kucheka.
Haya bhana mjanja wee.
 
Sawaa mwayaa enjoy mapenzi yako, nimekoma na kujuta kabisaaa.

Wee wa kunidharirisha hivi? Jamani nini hikii c uchuro huu.
Shida sio wee kurudiana nae, ni sisi tulio nyuma yako tulokupa back up wakat wa vita, nguvu zetu zote kumbe buree.

Jaman nn hiki kwangu c naonekana boyaa tyuuh, ahsantee kwa kunishusha kiasi hikiii.

Poaaa poaaa.
Mi nilisemaga ugomvi wote ule mdada anampenda mno jamaaa mkanibishia 😂😂😂😂😂 Ndio maana ugomvi ulikuwa hauishii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom