Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,776
Karibu sana cousin kesho tumealikwa na tayana tukasherehekeee unakuja wewe na mtuo get readyUdugu mchoyo hata mualiko
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa.Tubless kwanza maphoto photo
Hee!😀 si ilikuwa weweee na mr wakooo. Kama ni Tayana-wog hiyo niachie. Yuko njiani anakuja kuchukua Shekeli. Bad enough hajawaambia what colour mvae🤣🤣Anything for you friends tunaenda kusherehekea birthday ya babygal tayana- wog get ready wewe na partner wako!
Uzi bila foto ni novel.sema sijapiga mswaki ningetupia nikiwa natabasamuNakaziaaaaaaaaaaaaaaa.
Mwambie kabisa wifi yako anahisi unataniaYanii ni nyiee tu muwe huruuu nyie Watu wazimaaa
Unazingua ujueeer Hebu bariki jumapili yetu kwanzaaaUzi bila foto ni novel.sema sijapiga mswaki ningetupia nikiwa natabasamu
Weka basi hata miguu angalau sunday iende na raha ya moyo wangu. Pls🤠🤠😁😁😁🤠!
Bila foto yako naweka mgomo. Maana huwa nakuumba figure fulani hivi shepu nyigu yaaani amazing lady. Sema ndio🤣🤣Unazingua ujueeer Hebu bariki jumapili yetu kwanzaaa
Kichwani Nipo nafinywa hadi nataka kujikojolea hapa huku anavuta kule anavuta mbele anavuta nyuma anavuta weee maumivu yake usipimee!Weka basi hata miguu angalau sunday iende na raha ya moyo wangu. Pls
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii long weekend. Angalau basi tuimbe ule wimbo wa
[emoji443] huyo ni chaguo lako[emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahHata uchi unaruhusiwaaa Shosssss wee tupia tu
Nn wee?What??[emoji15]
Utakuwa cute sana. Hapo saluni sio?Kichwani Nipo nafinywa hadi nataka kujikojolea hapa huku anavuta kule anavuta mbele anavuta nyuma anavuta weee maumivu yake usipimee!
Watu mko saloon tayari kwa mtokooo wa x-maxxKichwani Nipo nafinywa hadi nataka kujikojolea hapa huku anavuta kule anavuta mbele anavuta nyuma anavuta weee maumivu yake usipimee!
Kumbe wee ni kafupiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oyaa karibuni vunja beiView attachment 2851469
PoleeKichwani Nipo nafinywa hadi nataka kujikojolea hapa huku anavuta kule anavuta mbele anavuta nyuma anavuta weee maumivu yake usipimee!
😂🤣🤣😁😁😁😁😁😁😂😂😁😁😁Kumbe wee ni kafupiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi naangalia tu. Sikukuu hii kila mtu na wake. Ngoja na mimi nichuke John walker[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]