Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Hii tabia umeanza lini? Omu....sijui,Dr/Doc na wengine wengine...!😅
Make room for them in your heart,maisha hayahitaji upweke utazeeka kabla ya wakati maana mwili unahitaji unyunyiziwe mbolea.

Usiku mwema
Nikiamka naomba nipishane na thread kutoka kwa vijana mkiambiana "i love you too,nikinywa maji nakuona kwa glass".🤣
🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom