Oh ,Ndio kazi yangu rafiki ya ufundi..Umekata sana rafiki nimeona unatengeneza mchuma! Uko vizuri rafiki
Mi mwenyewe ngoja nikapumzike mahaliEnjoy your weekend guys kesho nayo siku 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕!
swali gani hili Lizzy..?! so tuanze kubishana kuwa wewe ni mti au binadamu..😂😂Una uthibitisho gani kua mimi sio mti?🥴
Tuma picha tu ya passport sizeSijaelewa![]()
Kaa mkao wa blessing. Few minsEnjoy your weekend guys kesho nayo siku!
👍👍Kwamba unambless asubir kupokea![]()
Sawa sawa.Tuma picha tu ya passport size
Napenda kubishana!🤓swali gani hili Lizzy..?! so tuanze kubishana kuwa wewe ni mti au binadamu..😂😂
wana jf bhana
Mbona kitambo sana . Weka hiyo figure matata itublessAnza wee![]()
Wee shouzz na huyo smart wako unaona faharii mwenyewee? Hujistukiiii? Hujishangaiiiii? Hivi unaona ni vizurii eeeh?
Hivi yeye huyo shouzz anaona mazuri na huyo jamaa ake?
Asantreeeeee 🤩🤩🤩🤩🤩🤩!Au nisimamee au inatosha hii?View attachment 2850134