Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,577
Kuna mtu kafungua anajiita hivyo, huyo sio lamomy usitume msg hukoHata sielewi
Najua atakuwa anatuchungulia🤣
Nimejaribu pm ya Ile I'd ya cute,tuma na ww
Kuna mtu kafungua anajiita hivyo, huyo sio lamomy usitume msg hukoHata sielewi
Najua atakuwa anatuchungulia🤣
Nimejaribu pm ya Ile I'd ya cute,tuma na ww
Hongera sana rafiki yangu Antonnia😍Mnashangaa nini vipenzi?? Wapi iko shida🤠😊???
Nacheka hadi nakaukaaaa huku mjue hebu muacheni mkaka wawatu hana shida na mtu walaa!😛🤣
angalia na vitu vyakubishania vyengine majanga tupu..!Napenda kubishana!🤓
Watu wabishi hatuchaguagi chakubishania. Muhimu ni kubishana!🤓angalia na vitu vyakubishania vyengine majanga tupu..!
ulishawahi kudundwa..?Watu wabishi hatuchaguagi chakubishania. Muhimu ni kubishana!🤓
Si Ile ya zamani?Hiyo sio I'd ya lamomy, itakua Kuna mtu kafungua anajiita hivyo.
MakubwaKuna mtu kafungua anajiita hivyo, huyo sio lamomy usitume msg huko
Nilikuwa sijaelewa ujueMapenzi hayaingiliwi ujue![]()
AhaaaaaaNilikuwa sijaelewa ujue
Mi nilikuwa namuongelea lamomy
Ndo maana nilishangaa ulivyoni quote, mpk antonnia alivyonielekeza
Uliza basi 😂😂😂Hongera sana rafiki yangu Antonnia😍
Japo nina swali, naomba nikuulize🤠!
Mbona umetubania sn jmnAu nisimamee au inatosha hii?View attachment 2850134
Hapana ile ilifungwa, hii kuna mtu kafungua mpya. Kwa hiyo kuwa makini usijibu msg zake pmSi Ile ya zamani?
Mpaka ban iishe, but she is okay nilimuambia unamuuliziaMakubwa
Tuletee basi shost etu maana humu kumepoa
Huyo ni rafiki yangu sana mpaka anipe ruhusu ya kumuuliza maana naweza kumuuliza alafu asipende aina ya swali, maana ni swali gumuUliza basi 😂😂😂
Habari ya Bukoba boss
HuhuuuuHuyo ni rafiki yangu sana mpaka anipe ruhusu ya kumuuliza maana naweza kumuuliza alafu asipende aina ya swali, maana ni swali gumu
OkHapana ile ilifungwa, hii kuna mtu kafungua mpya. Kwa hiyo kuwa makini usijibu msg zake pm