Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Hey guyzzz.
Mwenye hii app ya Jf niloitia tafadhari naomba anitumie links yake, au hata a share na mie via tsup.

Plz nahitaji sana hii app,
IMG-20231222-WA0004~2.jpg
 
Wee shouzz na huyo smart wako unaona faharii mwenyewee? Hujistukiiii? Hujishangaiiiii? Hivi unaona ni vizurii eeeh?

Nakupa poleeee shouzzz, nimeamua kukuambia ukweli, km kweli umerudiana na huyo kiumbee, nakupaa pokee shouzzz.
Hizo sio shida zenyuuuu mbona shost yangu mie na uhenga Wangu huu wa kufundishwa kweli?

Kwani Smart911 kakukosea wapi shougaaangu???

Relllllllaaaaaaaaxxxxx!
 
Yaani natamani aje atuambie maana sielewi kwakweli,nimebaki na mshangao pia
Mnashangaa nini vipenzi?? Wapi iko shida🤠😊???
Hivi yeye huyo shouzz anaona mazuri na huyo jamaa ake?
Nabakii kushangaa tyuuh,
Nacheka hadi nakaukaaaa huku mjue hebu muacheni mkaka wawatu hana shida na mtu walaa!😛🤣
 
Coca anishangaa miee na Smart kipenziii hahahaaa..

Nacheeeeeeka kama kichaa mimi iuwiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤠!

Mark the date its Desemba 2023!
Kumbe 🤣🤣🤣sikujua mie!

Mhh nime mark
Nasubiri 🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom