binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,155
- 34,581
Ewaaaaaa! 🌺🌺😍😍Haya mlio miss binti kiziwi Omulasil chap inafutwa
Ewaaaaaa! 🌺🌺😍😍Haya mlio miss binti kiziwi Omulasil chap inafutwa
elewa sana tu. ⚘❤Sema umeenda kwa zimwi la zamani. Ila angalia Zimwi wa @ Lamomy ndio amemfikisha hapo. I misHaya mlio miss binti kiziwi Omulasil chap inafutwa
Kwa App yangu nimeitoa emoji. Nakuona vzr tu🤣🤣🤣Haya mlio miss binti kiziwi Omulasil chap inafutwa
Christmas 🤠
Jioni. Job now.natupia unatupia🤣Uzi hautaki story huu tupieni mafoto
Thubutuuuu 🤣Kwa App yangu nimeitoa emoji. Nakuona vzr tu🤣🤣🤣
Mi nishatupia sana wee utupie tu ! Sikuhizi Sina pichaJioni. Job now.natupia unatupia🤣
Ila hii kiswahili yako ngumu,mkimbizi wewe🤣Justvimage leo angekuwa yuko anapuga matashi
Mi mwenyewe nimemmis kweli mama la mama !
Former Mzimbue student. Boni here here🤣🤣Ila hii kiswahili yako ngumu,mkimbizi wewe🤣
Nahofia kuwapatia wakimbizi mdogo wangu.
Sijakuona leo rafiki😅Mi mwenyewe nimemmis kweli mama la mama !
Asipokuepo uzi unakosa vibe kabisa!
Ooooh msomi huyo,hongera sana.Former Mzumbe student. Boni here here🤣🤣
SaluteMi mwenyewe nimemmis kweli mama la mama !
Asipokuepo uzi unakosa vibe kabisa!
Mi nilisoma pale darasa la jioni la wazee. Nikuunganishe na babu Ticha😁Ooooh msomi huyo,hongera sana.
Ndugu yako hapa sijagusa hata darasa,hivi inawezekana kupata elimu kwa umri huu sasa?
KabisaMi mwenyewe nimemmis kweli mama la mama !
Asipokuepo uzi unakosa vibe kabisa!