KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,772
- 86,460
fanya kutoa hilo ua maana wewe sio mti mpaka uoteshe maua usoni..😂
fanya kutoa hilo ua maana wewe sio mti mpaka uoteshe maua usoni..😂
Kuna watu wachafu aisee hata akisema hana UTI unakataa. Sasa wewe mtoto safi kabisa hata ukiwa na UTI ni ngumu kuaminiKwani unadhani UTI inajificha wapi...?![]()
Atakaye pata U.T.I aje akanyage mafuta hapa kwangu😂😂
Wee nenda . At ur own risk😂Kuna watu wachafu aisee hata akisema hana UTI unakataa. Sasa wewe mtoto safi kabisa hata ukiwa na UTI ni ngumu kuamini
Hebu mjibu kwa kuweka yako sasa😂😂Dr km Dr 😘😘💋💋
Kiportable!"
Dah!!. Anyway usitoe Ua kuna mijamaa ya ovyo itaitumia kufanyia vitu na sabuni bila idhini yako. 😀😀😀
Ujumbe niupata. Nimeiona ile foto. Aisee nakiri ur so beauty. Mimi huwa sitetemeshwi ila kwa.hapa. Mmmmmm. Mmmmm. Speechless
Umeniona wapi wakati nimeifuta?🤔unanitisha🙄😅Tayana-wog bi mzuri japo umefuta nimekuonaaaa! 😍🌺🌺🌺
Kwakweli Bora nilikulkataaUjumbe niupata. Nimeiona ile foto. Aisee nakiri ur so beauty. Mimi huwa sitetemeshwi ila kwa.hapa. Mmmmmm. Mmmmm. Speechless
Mi mtu akifuta nikiview naiona, nikiview mara ya 2 siioni…. Japo si kwa picha zote. Baadhi wakifuta siwezi kuview.Umeniona wapi wakati nimeifuta?🤔unanitisha🙄😅
Rafiki Tayana-wog umefuta? Nishtue ukiweka plsTayana-wog bi mzuri japo umefuta nimekuonaaaa! 😍🌺🌺🌺
Kumbe?Mi mtu akifuta nikiview naiona, nikiview mara ya 2 siioni…. Japo si kwa picha zote. Baadhi wakifuta siwezi kuview.
Niliwaita hamkuwepoRafiki Tayana-wog umefuta? Nishtue ukiweka pls
Mi natumia web.Kumbe?
Au ni aina ya app?
Km wenye wasap JB ,ht ukifuta stts wao wanaona
Ila ww😅😅😅😅Kuna watu wachafu aisee hata akisema hana UTI unakataa. Sasa wewe mtoto safi kabisa hata ukiwa na UTI ni ngumu kuamini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimecheka hadi machozi yametoka. Nilijua tu mi ni wastory tuu. Nani anataka UTI sugu.🏃♂️🏃♂️
Mi napenda utani kucheka tufurahi.sas hivi kuna maisha yaletwayo na stress. Usimudhi mtu ukiona hajafurahi comment yako omba msamaha 😁🤣🤣🤣🤣🤣
Acha tucheke tu rfk angu ,tufurahi