Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

😂😂😂😂 Hivi unajua hata id yake nimeisahau!! Hebu ikumbuke tumuite tujue yuko wapi? Km kafichwa twende na polisi tukamtoe km yule diwani na Ashura
Ashura noma😅😅😅
Id ndefu ngoja nitafute kwanza nitakuita
 
DSC_0017.JPG
 
Wewe weka picha, tuanze kutaja code wanaha waanze kuibuka na picha zetu inahusu?! 😂😂😂
Usije kuwa wewe ngoma nzito 🤣
Picha tu haina shida mama.

Hahaha Hiyo ngoma nzito hapana...naishi matombo,Hapa mjini Dar es salaam nimefika kwa lift ya trucks za mizigo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom