Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,081
- 72,481
Yaan wanatukatiliYan ukichelewa kidogo tu hukuti kitu 🤔
Yaan wanatukatiliYan ukichelewa kidogo tu hukuti kitu 🤔
kijana wa ovyo unakaba adi kimvuli[emoji102]
😂😂😂Nimecheka😂😂😂😂 Toy ya jambazi chpaka la kwenye J plus
Kakaako aache uzembe Huu mwak sitaki uishe Huu 😀😀Utamfanya kaka ajue ushanasa kumbe mikuku unayofakamia 😂😂😂
Pole Jamani mambo ya Iphone magumu njoo chukue Infinix hii iko moto 😂😂😂Sionii shangazii [emoji24][emoji24][emoji24]
Wanafuta [emoji23][emoji23]
Mnatufanyia vibaya[emoji3][emoji3] ulikua wapi wenzio tumekula kwa macho mpka bas
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii tupu.Nyie tayari mpo sokoni,mnauzwa tena kwa kutembezwa ka njegere za kwa Mfipa. Angalia baibui hapo kama si wewe.
Vinginevyo,kwa Mbasha tuuu muuza mbuzi ndo utasikia Miguu minne, yaani peya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I4n nani anatumia? Haikutengenezwa kwa ajiri yangu.Pole Jamani mambo ya Iphone magumu njoo chukue Infinix hii iko moto [emoji23][emoji23][emoji23]
📍Nipe location dr 😂😂😂
Mnatufanyia vibaya
Mi pia nilikumiss Coca.😊🤩Mwenyeji ushakujaa? Nlikumic mnooo
Nimechelewa kuitika, but I'm here raraa reree 🙂😘Liziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👑👑👑👑👑👑 😗😘
Got u 🤗😗Nimechelewa kuitoka, but I'm here raraa reree 🙂😘
Kumbeeee! Kwako raraa reree anaandika kabisaNimechelewa kuitika, but I'm here raraa reree 🙂😘
😆🤣😂 umefikiria nini weweee aiseeeKumbeeee! Kwako raraa reree anaandika kabisa
Souvenez-vous amezoea kuona likes zako zaidi. Unaweza kuta post zako huwa anaziruka....😁😆🤣😂 umefikiria nini weweee aiseee