Eewaaa, kwa sie wazee wa bandari, hizi meli za mizigo ndio zenyewe
Mashalaaah , mzigo mpe mnyamwezi abebe
Huna nalala naked ili kuwa huru. Nikitupia tu. Uzi unafungwaTupia na kapicha basi🤏![]()


Nina mechi na binti wa kipare namsubiri
Si Ndo mtupie sasa!Mbn kimya humu sioni mitupio?
Aamin!May the morning be a blessin' to you and yours.View attachment 2822857
Ukituwekea hata picha ya bakora ya kuwacharaza wanafunzi tutashukuru sana.Aamin!
Acheni unywanywa hebu nanyie tupieni!Ukituwekea hata picha ya bakora ya kuwacharaza wanafunzi tutashukuru sana.
Tupia basi nikuone
Acha wasaidiane 😂😂😂Acheni unywanywa hebu nanyie tupieni!
" Nione mtu anageuka kuniangalia nilipo ili aigie kwa mwenzie nikikukamata nakuvunja shingo 😁🤠"
Navipiga biti vi form one vinaigiana balaa yani ukigeuka tu navyo vinageukaa kuigia!Acha wasaidiane 😂😂😂
Niko ghetto nimevaa boksa na jezi ya yanga




mechi ipo uwanja wa nyumbani