Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,524
- 95,083
Mtoko nimehairisha ๐๐๐๐๐Wee si una mtoko week end. Tulia kwanza tuko honeymoon
Mtoko nimehairisha ๐๐๐๐๐Wee si una mtoko week end. Tulia kwanza tuko honeymoon
Nyie mtoto mkareeee huyu [emoji7][emoji7][emoji7]
Km Millen Magese, hapa ngโombe tunachukua kuanzia 200 hutaki kaoe binamu zako
Aisee mwili mzuri sana hongera
Mpambe kama mpambe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna baya tajiri
๐๐๐ binamu bure wanaendeleza ukoo[emoji38][emoji38][emoji38] wakaoe binam nyama za hamu
๐๐๐๐Mpambe kama mpambe.
Winnone ni wewe kweli ๐ค avatar yako huyo mjamaa kashika mgitaaa unanifanya niwe saspishiaaaazzzz ๐Weeee usinambie[emoji3][emoji3][emoji3]
Ana hasira. Ila hawezi kutunza[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Acha wivu basiii
Mmh kama ni la sasa. Mlonganzila hiyo[emoji23][emoji23][emoji23] Hiyo ya zamani
Ss hivi nimenenepa nna ngongingo limejaa
La Uturuki ๐๐๐Mmh kama ni la sasa. Mlonganzila hiyo
HahahahNdo ile ukifyatua trigger inalia pyuu pyuu ๐๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we nishaona hutaki mchumba
Ebhanaeee una macho makali weweee unajua kupoint hapa sasa ya kubrashia viatu utapata ๐๐๐๐๐ we nishaona hutaki mchumba
Embu tupia nyingine tuone totooo ๐ค[emoji3][emoji3][emoji3] ondoa wasiwasi, enyew hap kweny avatar sio mjamaa ni pisi ya kwenda
๐๐๐๐ Toy ya jambazi chpaka la kwenye J plusHahahah
Tujaribu kama itafanya hivyo๐