Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,944
Muddy hapo mwisho wa tai hapo 😜
Muddy hapo mwisho wa tai hapo 😜
😂😂😂 Wewe tatizo mchumba anapatikana vizuri, anakuuliza unaishi wapi? Unamjibu Tegeta nyuki!Ina maana mimi hunikumbuki kabisa
Wewe subiri zamu yako subiri kwanza siisi hapa tuanze siti za mbele wewe wa siti za nyuma subiri kwanza 🤪Ina maana mimi hunikumbuki kabisa
Mwambie Mchumba afike PM tuanze mazungumzo ya awali 😆🤪Nimekuita uchague mchumba uache kusumbua 😂😂😂
Mpaka apo nimegundua wewe & Ms eyes mnataka mtoto wa mwanamke mwenzenu nife kwa ugwadu 🤣😂😂😂 Wewe tatizo mchumba anapatikana vizuri, anakuuliza unaishi wapi? Unamjibu Tegeta nyuki!
Akiomba pesa unaanza kusema ooh! Niko abroad narudi uko karibu na Christmas 🤣🤣🤣
Limeisha anko, subiri warembo waje hapa!!
🤣🤣🤣Limeisha anko, subiri warembo waje hapa!!
Nyie 🗣Diva’s na slay queen’s kuna big daddie kapatikana! Boss la jf njooni mjifotoe 🤣🤣🤣🤣
Tena mganga kula vikuku vya dawa uhakika
Ohoooi🤣🤣🤣
Tupia mishepu hiyo ila waambie wewe tayari jimbo limeshachukuliwaOhoooi![]()


Mbona wazungu, nimecheka kwa sautiJf ya kimataifa kuna hadi wazungu humu![]()



Haya ila usije kuanza kusema, “hakuna twende kilioni za laki” 😂😂😂Mwambie Mchumba afike PM tuanze mazungumzo ya awali 😆🤪
Wewe mwambie afike PM hio laki si ni vocha ya siku moja tu 😆🤪Haya ila usije kuanza kusema, “hakuna twende kilioni za laki” 😂😂😂
Nitafutie wa kummwagia minoti sasa tajiriii, maisha ndo hayahaya😂😂😂 Tajiri chana pochi