Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Mpaka usiku .....usiku wa manane
 

Attachments

  • Screenshot_20231118-141157_Instagram.jpg
    Screenshot_20231118-141157_Instagram.jpg
    228.4 KB · Views: 9
Hivi, Mshana Jr ,saa moja kasolo, na mada hii,alilala wapi? Na nani? Wakifanya nini? Ili iweje? Badae kitatokea nini? Wazazi wa alielala nae wanajua mtoto wao alikuwa wapi( mtoa mada mwenyewe simuongelei alishashindikana hadi kufukuzwa kwao).
Wakati anawaza haya,alikuwa amevaa nini yeye? Mpaka anaandika,alikuwa anajisikiaje? Nakaona kwa mbali amesimama mbele ya kioo mwenzie amelala anapigwa picha bila kujua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom