Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 44,161
🤣🤣🤣Hapo SasaUzuri huendana na roho. Mi sio wa kufungiwa benki halafu hawaoni nafanya muamala. Sema Meneja ananijua walikomalia walinzi . Wajinga sana. Hivi wanajua niko namfanyia nani maokoto?