Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,411
- 829,747
- Thread starter
- #1,701
Acha kuni rusha🤣😂😂😂Nkmetulia mwenyeeewe![]()
Mtaalamu wa Voda, wapi hiyo🤣😂😂
Chino 😀😀😀Kidogo nafsi itatulia.
Maana jembe lilikua halipiti vizuri mchuchu.
Umejua kumchanganya sana kijana wa watu.
Ipo siku ntasimama mataa ya mwenge kuzuia magari mpaka ujitokeze
Hebu Palina uje hapa uturingishie mtoko wa leo
😂😂😂Yes my sista
Na mm naomba nimjue shemeji kama yupo, Kama hayupo nikuweke sehemu nzuri![]()
😂😂😂😂😂Huko ndo tunakoelekea
😆 Mimi mara nyingi sana najikuta nimelalia simu , nimeanza kujifunza kuweka simu mbali na kusoma kitabu, kabla usingizi hujanipata, lakini najilazimisha.Jana usiku simu nimeikuta uvunguni kabisa😀😀
My wii good morning😀😀😀Chino 😀😀😀
Wii uko wapi mwenzetu?!! Sio kwa good morning hiyo 😂😂😂My wii good morning😀😀😀
I miss u
Niandalie kahawa tamu km ile ya juzi ili nikusamehe wii 😂😂😂😂😂😂😂😂
tumekosa sisi, tumekosa sisi, tumekosa sana..!!
usifike huko tafadhali..
😂😂😂Mmenisengenya nyieeee
Mfyuuuu!! Ushanikosesha pesa mjinga wewe 😂😂😂Ndio naamka sasa hivi😂😂😂
Duh! 😂😂😂
Broo wako kanizimia simu tangu asubuhi simpati hewani😢Mfyuuuu!! Ushanikosesha pesa mjinga wewe 😂😂😂
Makubaliano yalikuaje jana?
Ko hujaenda kumpokea bro?!
Wewe ushazoea kina mshamba choka mbaya!!
Uko wapi ? Tuimalizie vzr