Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,538
- 9,671
tajiri la basi za Achimwene mutu ya migodini
tajiri la basi za Achimwene mutu ya migodini
Mimi nimei-save
Dah 😂😂😂😂😂 siongezi nenoNililiringishia we si ulikua umeenda kuvuta majani
naumia sana mimiYupo mmoja anaumia kweli 😂😂😂
Bro hatutaki wallpaper pic!![emoji3508][emoji3508]View attachment 2819434
Unaumia na nini Chino? 😜naumia sana mimi
Mama mchungaji kuna usalama kweli hapa? 😂😂😂😂Ur missed too tajiri ,boss mwenye pesa zake mjengoni🤣
Huna baya
Nimevaa ile kiatu ya wamasai na tie.Bro hatutaki wallpaper pic!!
Tunataka utudolishie ulichovaa leo sisi vioo tutuoe marks 😂😂😂
Mbona hujanipa feedback sasa bro?!!Nimevaa ile kiatu ya wamasai na tie.
Juu haikuhusu 🤣Hapo sawa haya pandisha camera kwa juu kuna kitu nataka nione 😂😂😂
Wifi Ms eyes njoo au kaka kakuchosha??
Hapo chacha 😜Juu haikuhusu 🤣
Ngoja nirudi kupumzika maana macho mazito kweli,baadae sitoenjoy kumuona huyo bibie kama nisipopumzika..
Mwambie awahi kutoka kazini.
Hebu chukua namba ya kikorea kimoja hapo 😁😂 CAPTORHINOMORPHSView attachment 2819317
View attachment 2819318
Musical performance,,[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Bro haujui my first name ni jobless wa kimataifa 😂🤣Jobless unajiita Intelligent businessman
Sitokuangusha,tutabadilisha sehemu maana naona nimekutumia sehemu ya kukutana huko juu🤣 na humu nasikia kuna majambazi hivyo mambo yaendele kisiri siri.Hapo chacha 😜
Kwahiyo leo ndo kilele chenyewe!!
Usiniangushe bro, nataka kufika mwakani niitie aunt 😂😂😂😂
Badilisha mwaya msije kukatishiwa siku yenu maalumu na wanga wa JF 😂😂😂😂Sitokuangusha,tutabadilisha sehemu maana naona nimekutumia sehemu ya kukutana huko juu🤣 na humu nasikia kuna majambazi hivyo mambo yaendele kisiri siri.