Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,294
- 3,188
likizo time
Kaka mdogo hutaki mambo mengi unapita naked 😂😂😂likizo time
View attachment 2819760
Nategemea pendekezo la sehemu nzuri zaidi toka kwakoBadilisha mwaya msije kukatishiwa siku yenu maalumu na wanga wa JF 😂😂😂😂
Mbona hukunistua nikupe credit legend?Mbona mimi siogopi hao wanga, juzi nilitupia suti 🤣
rafiki angu sanga sijui sikuhizi yupo wapi aje anisaidie.Unaumia na nini Chino? 😜
Limeisha hilo ni piem niwape sehemu nzuri ya kupumzika na Ms macho 🤣🤣🤣Nategemea pendekezo la sehemu nzuri zaidi toka kwako
Sanga alihamia South mtafute Tweve au Msigwa 🤣🤣🤣rafiki angu sanga sijui sikuhizi yupo wapi aje anisaidie.
That's my fvkn Genius wifi mtu💪!!😅Limeisha hilo ni piem niwape sehemu nzuri ya kupumzika na Ms macho 🤣🤣🤣
Fanya hivo hapo kwenye money 💰😋😋That's my fvkn Genius wifi mtu💪!!😅
Hata ahsante 💰nitaitoa kwa furaha na moyo mkunjufu.
maninah hahahahaFanya hivo hapo kwenye money 💰😋😋
Mchuchu kwanza nipe pesa ulizoniambia utanipa 😂😂😂maninah hahahaha
Mama mchungaji kuna usalama kweli hapa? 😂😂😂😂
Nitamkabidhi zawadi yako so mtafahamu mnapeana vipi huko nyie wenyewe.Fanya hivo hapo kwenye money 💰😋😋
dah hapa tu ndo chino huwa najikoseshaga mapoint ya kutoshaMchuchu kwanza nipe pesa ulizoniambia utanipa 😂😂😂
Missed you a lot 😍Nipo mpendwa😁😁
Tupia mpendwa ya kujidai😍Missed you a lot 😍
Dah Ume nikumbusha, I missed kuona unywele😁😁😝🤗Tupia mpendwa ya kujidai😍