Mzee hapa unazungumzia new age movements au Kuna kingine?ni Kama nimekuelewa hapa manake siku hizi no mambo ya vibe, universe, meditation, go vegan,aura na kuendelea au tumeelewana vibaya1: Sababu pekee za Kumuabudu Mungu ambazo ndizo wanazozitoa viumbe wa mbinguni kama kwa nini wanamuabudu Mungu ni MBILI i/ Muumbaji wa Vyote 2/ Tukio La Yesu Kufa Ili Kumpandisha hadhi mwanadamu atakayemuamini, Kutoka kuwa mdhambi asiye na Muelekeo wowote hadi Kuwa MTOTO wa Mungu Ambaye hamuiti tu Mungu bali ABBA yaani BABA. Sio tena Mungu na Mwanadamu Bali Baba na MTOTO aliyezungukwa na hatari.
2: Sabato ni Ishara pekee inayomtaka Mwanadamu Kumkumbuka Mungu kama Muumbaji wa Ulimwengu kwa siku (Lateral Days) Sita. Hii Itamlinda mwanadamu na nadharia zote potoshi juu ya Kazi na Uumbaji wa Mungu. Ndio Maana hata Yesu (Aliyeshiriki uumbaji) alisema Iliwekwa kwa ajili ya MWANADAMU sio MYAHUDI. Hapa kuna mitazamo mingi yenye utetezi mwingi kinzani ila kwangu mimi huu ndio sahihi kabisa
3: Nje ya mahusiano Binafsi (sio ya kikundi au kidini ) na Mungu, Juhudi zote za mwanadamu ni bure. Hiki ndio Kinapaswa kuwa kipaumbele namba moja cha Kila mwanadamu anayejitambua na hakizuii kufanya mambo mengine ya maendeleo.
4: Kuna Upotovu Mkubwa sana Katika Ulimwengu wa Imani dunia ya Sasa. Ila Wengi Hawajui. Hata wanaodhani wanajua wanajua kwa juujuu. Kuna kasi kubwa ya Modernization ya ancient paganism ambazo zinachanganywa katika imani subliminally.
Kilele cha mchanganyiko huu ambao unawaunganisha watu wa imani, wasio wa imani, atheists, scientists, wanasiasa, wanamichezo, wanadiplomasia, magicians, Vyama vya Siri, na wasio na hili wala lile ni UPINZANI WA WAZI KWA MAMLAKA YA MUNGU kwa ujanja na uficho wa kiwango cha juu. Ni wale tu ambao wataona haja ya Kujificha katika Vyumba vya sala peke yao binafsi Kumuomba Mungu, na Kusoma Neno la Mungu Kwa Bidii kubwa kama mchimbaji madini anavyosaka dhahabu ndio watakao kuwa Salama na Upotofu mkubwa ambao unaimomonyoa dunia kwa spidi kubwa. Ndio Pekee watakao kuwa watu wenye amani na furaha ya kweli hata kama hali ya nje ibadilike kutoka kuwa mbaya kwenda kuwa mbaya zaidi au nzuri kwenda kiwa nzuri zaidi.
new age movements zinazama humohumo.Mzee hapa unazungumzia new age movements au Kuna kingine?ni Kama nimekuelewa hapa manake siku hizi no mambo ya vibe, universe, meditation, go vegan,aura na kuendelea au tumeelewana vibaya
Hii modernization ya paganism embu nipe briefly tu?nipate conceptnew age movements zinazama humohumo.
enroute to global occupation.Hii modernization ya paganism embu nipe briefly tu?nipate concept
Navipataje hasa hicho Cha enroute to global occupation manake kundalini yoga nahisi ninacho..enroute to global occupation.
ukipitia humo utapata kianzio.
mfano kundalin Yoga kwenye modern charismatic movements.
https://ia600609.us.archive.org/12/items/EnRouteToGlobalOccupation/EnRouteToGlobal.pdfNavipataje hasa hicho Cha enroute to global occupation manake kundalini yoga nahisi ninacho..
Unatumia mda gani mkuu kufikia lengo hivi..na huwa unaspecific genre au vitabu...ungetuwekea hata title inasaidia nasi kuviweka kwe reading liat yetu..asante
Kabisa Mkuu.Dah umenifurahisha sana boss lets keep this thread going hata kwa mwakani tuzidi peana moyo na madini mapya
Hicho hapo kitabu(101 Ways),Japo mimi siye niliyeombwa.View attachment 101 Ways to Make Money in Africa - Harnet Bokrezion.pdfMkuu naomba unitumie kama una pdf format..
Ndio ndio.Ntakitafuta.. Yani jamaa anakufungua macho mwanzo mwisho
Nielekeze jinsi ya kupakua kuna kitabu kimoja nakitaka au nkutumie title unipakulie?
Bwana kaka, aka Mr Liverpool Huu mwaka wa Majogoo kuwika.Akufanyieje?
Bwana kaka, aka Mr Liverpool Huu mwaka wa Majogoo kuwika.
Nina braza wangu huku full ndelemo na vifijo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran.Sana man.
BTW hongera sana, nimeona list yako nikasema mimi siyo kabisa msomaji, wakati kwenye kundi langu jamaa wanaona mimi ndo msoma vitabu.
Noma sana, I need to pull up my socks.