Mkuu umeonaeee. Sasa fanya kosa umpe lift mwanafunzi halafu mzazi wake aone. Huruma yako itakutoa pesa na usipoangalia Segerea inaweza kukuhusu. Mswahili ni zaidi ya mbuzi. MSAADA TOA KWA MKEO AU MWANAO WA KUMZAA NA WAZAZI WAKO WA KUKUZAA. MBUZI ACHANA NAO.Miaka ya nyuma nikiwa namuendesha meneja wa tbl tukafika sehemu tukakuta jamaa kagongwa na gari na amaetelekezwa meneja akasema tumchukue tumpeleke polisi kufika kituoni kibao kikasoma ni kwamba sisi ndiyo tumemgonga na hajitambui afande wachukue maelezo weka ndani ilikuwa ni saa 4 asubuhi Kuja kueleweka saa 10 jioni mzungu wa watu alilaani sana mpaka leo hii huwa sitaki kujifanya mwema make Mikasa mingi sana