Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,444
- 11,943
- Thread starter
- #301
Sahihi kabisakaka yangu mie walimbebea laptop yake..kiukweli wengi wetu unakuwaga ni uswahili tu kuna wakati usafiri unakuwa wa shida sana yaani lakini mtu unapita kituoni umeweka mziki wako mkubwa tu lakini ndani ya gari niko mwenyewe ...unajua ukimpa mtu lifti mmmhhh utaishia njiani..wengne unampa lifti anataka yeye awe muongeaji kuliko mwenye gari