Umeshawahi kunusurika kifo? Tuelezane ilivyokuwa, kama njia ya kumshukuru Mungu

Arusha mjini, nakumbuka ilikuwa jumamosi ya Tarehe 5 Julai mwaka 2014, tulikuwa Bar na washkaji zangu watatu na demu mmoja wa msela...jumla tukawa watano including me...sasa katika pombe pale kati jamaa akaanza kuniamshia noma kuwa demu wake ananishobokea na ninaonesha kuwa nimemtamani....tukagombana sana ile kweli kweli....ikafika mahali wakasema tuondoke hapo wote twende kiwanja kingine, tukatoka mpaka nje kwenye gari ya huyo jamaa yetu ambaye ndo mwenye demu, nataka kuingia kwenye gari kumbe masela wote washakubaliana kuwa waniteme kama adhabu yangu, na kweli nikaachwa pale peke yangu usiku ule mnene...nikasema poa nikadaka Toyo zinazopark nje ya bar nikaenda kiwanja tofauti na wao. Asubuhi iliyofuata naamka na taarifa ya msiba, kumbe walipotoka pale Bar wakiwa njiani na speed kali ya Subaru Forester ya msela na pombe juu wakavaana na Land cruiser huko njiani....walikata moto wote wale....yaani wote!!!!!!!!
Ebwanaeeh
 
Ilikuwa mwaka 1994 nasafiri toka Moro kwenda Dar, nimekata ticket basi la Hood nikaingia nikakaa na siti ilikuwa upande wa kulia maeneo ya katikati, muda kidogo anaingia dada fulani akiwa na ticket ya siti ileile niliyokaa. Zogo kidogo konda akaja na dada ndiye alikuwa wa kwanza kuingia kwenye gari alitoka kutafuta mahitaji kurudi ndo ananikuta mimi.Konda akaona ni makosa yao so akaniamuru nipande gari inayofuata, nilichukia kidogo maana ilinigharimu muda kusubiri hii ya pili kujaa so ile gari ikatangulia.Ile tunaanza safari tunapokea taarifa ile gari imepata ajali wamegongana na Greda upande mmoja wa basi umefutwa wote,tulipolifikia nikaona kabisa upande uliopitiwa na greda ni uleule niliokuwa nimekaa mimi kabla ya kushushwa.
 
nimenusulika na ukimwi mara 6 kwanza mwaka 2001 nikua napiga demu mtaani nikasafiri mkoa narudi naambiwa demu alizaa mtoto kafa ila afya ya demu tia maji washikaji wananiambia demu kaungu na bwana alie zaa nae yuko kitandani akili ikaruka,nikaama mkoa 2006 nikawanapita na raia mmoja kumbe alishaungua huko mererani akatulitea sisi ktk mbanda ya video raia alikua bonge la mtu uzito zaidi ya kg130 ila baada ya muda akawa modo tetesi zikanifikia kua mume wake kashasepa nikaenda mbana akanimbia kua mume mtoto wao washarudisha namba nikasema sasa nakufa.nikapotezea japo wananchi wakawa wananinyooshea vidole baada ya yule manzi kufariki hapo sikutaka kupima ngoma maana niliisi ninao nikarudi home nikiwa na ganzi nikazama SHIVAZ nikakamata toto moja matata baada ya show akanimbia ataki tena pesa yangu ila niewe namlizisha tu akanipa na funguo ya gheto kwake maisha yilikwenda mwisho wa siku nikamuona anabadirika kumbana mpaka ktk vipimo imo akukaa muda akarudisha namba ila alijuga mapenzi huyu manzi!Shetani sio mtu mwema nikaja nikapata raia moja kama shombe la kiarabu najua watu wa kaskazini wanajua nazungumzia kabila gani mtoto nilipiga yeye na dada yake nakuja ambiwa kumbe walikua wana nichora tu baada ya muda nikaja gundua nacheza na substation ya tanesko dah. sasa achana na huyu nilikutana nae ju kwa juu ni siri yangu.balaa nikaja kuoa mwanamke anetumia ARV bila kujua nilivyokutana na dawa na cheti nikaisi kukata moto hiyo ndio balaa nilikwenda kupima kama hosptari 6 kwa siku mwezi nilipima hosptali zaidi 20 ila mungu ni mwema niko njema nimeamua kuoka na kuwekaza ktk kinywaji ndio mpenzi wa kweli
mkuu unaonekana unapenda sana utelezi
 
Aisee
Ilikuwa mwaka 1994 nasafiri toka Moro kwenda Dar, nimekata ticket basi la Hood nikaingia nikakaa na siti ilikuwa upande wa kulia maeneo ya katikati, muda kidogo anaingia dada fulani akiwa na ticket ya siti ileile niliyokaa. Zogo kidogo konda akaja na dada ndiye alikuwa wa kwanza kuingia kwenye gari alitoka kutafuta mahitaji kurudi ndo ananikuta mimi.Konda akaona ni makosa yao so akaniamuru nipande gari inayofuata, nilichukia kidogo maana ilinigharimu muda kusubiri hii ya pili kujaa so ile gari ikatangulia.Ile tunaanza safari tunapokea taarifa ile gari imepata ajali wamegongana na Greda upande mmoja wa basi umefutwa wote,tulipolifikia nikaona kabisa upande uliopitiwa na greda ni uleule niliokuwa nimekaa mimi kabla ya kushushwa.
 
Tangia mdogo nnaelement za ufundi ufundi Sana
Sasa siku moja mpangaji amehama akawa ameweka Ile bed switch (kaswich kadogo kakuning'inia unapolala)
Alipoondoka akasepa zake...akaziacha
Ile mnyabi kuingia nkasema yeeesi nmepata waya,
Nkapanda juu ya sturi nkakate na meno dah..............................kuzitia mdomoni nizikate dah acha tu

Ndio maana Hadi leo akiri yangu kama haijastable hivi
Mungu mwema mazee
 
mkuu pole ila nimecheka sana yaani unakata waya wenye umeme kwa meno!?
 
Wakati bado niko mdogo nilikwenda kumtembelea bibi yangu aliekuwa akiishi mkoani Singida maeneo ya saranda.

Bwana kuzoea kidogo pale nikawa na rafiki yeye michezo yake kudandia treni likiwa linakuja mpk litakaposimama ndio anashuka na kujiskia raha/msela.

Sasa bwana sikuhiyo na mimi nikaenda kama siku 2 hivi nilifanikiwa na kuja kujisifu sisi ni masela.

Siku hiyo nakumbuka tumesubiri treni limetoka manyoni linashuka mlima ilikuwa usiku wa saa 2 tumevizia nikakamata chuma nipande weee bwana wee nilitereza miguu ikanasa nikawa nabembea kama tumbili huku chuma imekamata reli mteremko ule asee sijui Mungu aliniponyaje mpka leo sielewi nilijikuta chini ninatoka damu mwili umechubuka vibaya asee nilikaa hospitali muda mrefu ila nilipona. Siku hiyo nilijua ndio mwisho wangu.
Hatari sana hii!
 
Ilikuwa mwaka 1994 nasafiri toka Moro kwenda Dar, nimekata ticket basi la Hood nikaingia nikakaa na siti ilikuwa upande wa kulia maeneo ya katikati, muda kidogo anaingia dada fulani akiwa na ticket ya siti ileile niliyokaa. Zogo kidogo konda akaja na dada ndiye alikuwa wa kwanza kuingia kwenye gari alitoka kutafuta mahitaji kurudi ndo ananikuta mimi.Konda akaona ni makosa yao so akaniamuru nipande gari inayofuata, nilichukia kidogo maana ilinigharimu muda kusubiri hii ya pili kujaa so ile gari ikatangulia.Ile tunaanza safari tunapokea taarifa ile gari imepata ajali wamegongana na Greda upande mmoja wa basi umefutwa wote,tulipolifikia nikaona kabisa upande uliopitiwa na greda ni uleule niliokuwa nimekaa mimi kabla ya kushushwa.
Kubabeki kooo ulikuwa unalilia kufa! VIP mdada alipona
 
Sa najiuliza wanapata wapi mda wa kusali kwa kipindi kirefu hivyo.au wamo wastaafu tu??
Hapana mkuu, wao wanakutana mara mbili kwa wiki, kama sikosei ilikua ni jumanne na jumapili...saa kumi jioni mpaka kitu kama saa 12 na nusu. Kusali muda mrefu nilimanisha mambo yao yanachukua muda mrefu kuliko misa za kawaida jumapili.
 
Niliwahi kupanda bus nikiwa nimepewa lift na kondakta ambae ni rafki yangu baada ya muda alikuja kunihamisha ile siti niliyokaa, alaf akakakaa dada mmoja ilikua ni ile siti ya staff pale mbele karibu na mlango,,, haikupita dakika 15 bus ikapinduka miongoni mwa abiria walio fariki alikua Ni yule dada niliyempisha sit akakaa,, Kuna zile chuma za pembezon mwa barabara ndo iliingia ndani ya gar ikamchoma akafa palepale,,,,
 
Duuh msala sanaa haya mambo magumu mnoo...!! Ukute jamaa asingekuamisha isingetokea ajalii lakini sababu yule dada siku yake ilifika hakuna namna
Niliwahi kupanda bus nikiwa nimepewa lift na kondakta ambae ni rafki yangu baada ya muda alikuja kunihamisha ile siti niliyokaa, alaf akakakaa dada mmoja ilikua ni ile siti ya staff pale mbele karibu na mlango,,, haikupita dakika 15 bus ikapinduka miongoni mwa abiria walio fariki alikua Ni yule dada niliyempisha sit akakaa,, Kuna zile chuma za pembezon mwa barabara ndo iliingia ndani ya gar ikamchoma akafa palepale,,,,
 
Niliwahi kupanda bus nikiwa nimepewa lift na kondakta ambae ni rafki yangu baada ya muda alikuja kunihamisha ile siti niliyokaa, alaf akakakaa dada mmoja ilikua ni ile siti ya staff pale mbele karibu na mlango,,, haikupita dakika 15 bus ikapinduka miongoni mwa abiria walio fariki alikua Ni yule dada niliyempisha sit akakaa,, Kuna zile chuma za pembezon mwa barabara ndo iliingia ndani ya gar ikamchoma akafa palepale,,,,
Inakumbusha ile ajali ikaua wasanii wataarabu
Kuna yule mama aliamua kumuhama issa kijoti kwa kuwa alikuwa anamletea utani, daah ilikuwa heri kwake maana wote waliokaa ile siti na upande ule walikufa
 
Oh okay! Endelea na shughuli ya ujumbe maana kwa kweli mmefanya kazi nzuri!!!
kwa kweli ktk kipindi changu chote cha kufanya kazi ndani ya miaka11.

Hii ya kigamboni "Tumefanya kazi iliyotukuka hakika tutakumbukwa vizazi na vizazi"

Nahisi tunahitaji tuzo ya Nobel.
 
Ilikua Tarehe 25 ya Mwezi Wa Tano, Sheimh Yahya Husein(R.I.P) alitabiri siku hii ndio itakua simu ya mwisho wa dunia hii.. Kulikua na Bonanza la mpira wa miguu Uwanja wa Social(Staki Shari) Maeneo ya Majumba Sita. Baada ya Bonanza kuisha sjsi wakazi wa Kinyerezi na team yetu tukawa tunajiandaa kuondoka.

Kulikua na Gari aina ya Canter inayobeba maji katika matank makubwa ya lita 1000, Tukiwa tunasubiri matank yajae maji ili tudandie gari ile kwa idadi ile ya watu. Ghafla nikasikia kuitwa kwa mbali ila nikapuuza, Bwana yule alikua kweye gari ndogo akashuka na kunifuata, akanishika bega kisha akaniita kwa jina langu na kuniamuru niongozane nae. Sikumjua yule bwana na sijawahi kumjua mpaka leo. Basi akanipa lifti na stori nyingi sana mpaka nikafika Kinyerezi.

Huku Nyuma gari ilimaliza kujaza maji na vijana wenzangu wakapanda gari ile, Walikua zaidi ya 15. Baada ya gari kutoka haikumaliza hata KM 1 maeneo ya kabla daraja la kinyerezi gari ile ilipata ajali mbaya sana na wenzetu Tisa wakafariki palepale. Ulikua ni msiba mkubwa sana katika viunga vya kinyerezi. Vijana wadogo sana walipoteza maisha na wachache wakasalimika nikiwemo mimi niliyeokolewa na Malaika yule, Namuita malaika kwa maana sikuwahi kumuona kabla na sidhani kama nitamuona tena. Mungu alinioloa na Nashukuru Mungu.
hiyo noma
 
Back
Top Bottom