hii nimewahi kusikia. Huyo nyoka kuna siku mbwa wangu alibweka sana usiku nilipotoka nikakuta ameingia getini kulikuwa na nafasi pembeni ilibidi niamshe wajirani tukamuua kwa kumrushia matofali baadae tukammwagia mafuta ya taa na kumpiga kiberiti alikuwa mkubwa sana kama kilo tatu hivi na alikuwa anafuata sauti ya vitoto vya mbwa vilikuwa vimezaliwa few days pastHuyo nyoka ni noma akikung'ata usipotibiwa vizuri pale ulipong'atwa huwa panaoza kabisa.
-Ndumilakuwili-
Inaonekana bado hujakutana na mziki wa Black mamba. Utabadilisha mtazamo wako tu kwa hiari au kwa lazima.Kwani ushawahi kuona nyoka akimkimbiza mtu ?
Kwani amekuwa simba au chui huyo ?
Na kuna wengine hatujachangia ila tumewahi kumbana nae....daaahKila mchangiaji hapa amekumbana kwa namna moja au nyingine na nyoka huyu hatari porini au shambani ..NI RISK SANA KUISHI AFRIKA!!
hahahah, nimecheka sana. mimi ngeenda kuchambia home kabisa😀😀kweli huyu nyoka mpaka umkanyage, niliwahi kuchunga ng'ombe utotoni nikabanwa na haja kubwa porini, nilipomaliza kukata gogo natafuta jani nichambe, kumbe pale karibu kabisa na niliposhusha gogo alikuwa katulia ananichora tu, ilibidi niondoke taratibu, nikaenda chambia sehemu nyingine, kumsimulia babu akasema huyo sio swila, huyo mpaka umkanyage, ndio akung'ate, na vile vile inasadikika katika kabila langu ukiwakuta kwenye shamba lako la mihogo basi mihogo itanenepa kama lenyewe na inakuwa hivyo, hizo ni imani tu za wahenga
Wewe unapenda nyoka gani sasa? kwani nyoka anapendwa?Mweeeh sitaki kuskia. Sipendi nyoka hata niambiwe anatema diamond
Sent using Jamii Forums mobile app
Black mamba ni nyoka asiyependa bughudha na usumbufu akikuona unamfuata kama alikuwa ametulia utamuona anaanza kuondoka ,Inaonekana bado hujakutana na mziki wa Black mamba. Utabadilisha mtazamo wako tu kwa hiari au kwa lazima.
"A voice of one calling in the wildernes"
mkuu ukiwa unachunga mifugo porini kuonana na nyoka mnapishana kama swila, kifutu, chatu ni vitu vya kawaida na ikitokea chatu kakamata mbuzi inabidi upambane nae ile mbaya, kuna kitu nakumbuka chatu alikosea step akaenda mdaka ng'ombe sasa ng'ombe nahisi alimuona, chatu kufyatuka na ng'ombe karuka hivyo chatu akaambulia kudaka miguu, ili amuangushe si ng'ombe akakojoa, ule mkojo kumdondokea chatu, aisee alifyatuka kama radi, nikahisi mkojo wa ng'ombe inawezekana ni sumu kwa joka lile, nilitafuta sehemu nyingine yenye jani nikachamba, ukiwa mwoga porini huwezi kwenda, yani inafikia kipindi unaona kawaida tu, kuna nyoka wengine nao sijawahi kuwaona mpaka leo lakini kule wapo, sijui siku hizi manake naona mapori mengi watu wamelima na yashakuwa makazi ya watu,hahahah, nimecheka sana. mimi ngeenda kuchambia home kabisa😀😀
Me ningezimia mike na ningeacha kudoji aisee..[emoji23][emoji23]Huyu nyoka mpole sana wanapatikana sana maeneo ya baridi , siku moja nikiwa mafinga jkt nilitoroka mkesha nikaenda kulala porini nilikuwa na blanket nikiwa nmelala kumbe likaja likifutu na kuingia kwenye blanket asubuhi nashtuka linanitekenya...
Wala halikunidhuru
Umeambiwa akuumi mpakq umkanyage...! Sasa unataka kumuua kwani kakukanyaga wewe..?Unahurumia snake!? Yeye hawezi kukuhurumia jombaa... Na tumeagizwa tuwaponde vichwa, hivyo hao jamaa walitimiza maandiko....
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Actually africa hakuna nyoka nkuu..! Nyoka wapo asia..! Especially the indian subcontinent..! Kule ndo kunaongoza kwa kuwa na nyoka wengi na wakali zaidi..! Wanasema watafiti kuwa mtu mmoja hufa kila baada ya dakika sita kutokana na kung'atwa na nyoka...!Kila mchangiaji hapa amekumbana kwa namna moja au nyingine na nyoka huyu hatari porini au shambani ..NI RISK SANA KUISHI AFRIKA!!
Huyu nyoka ni kweli ana sumu kali sana lakini ina aina mbili tofautiunapona lakini lazima kuna mawili either utembee kama kilema, au mguu unaweza ukavimba au mkono usirudi katika hali yake ya kawaida, au ukatwe kabisa, manake sumu yake ni kama ina kansa huyu kifutu, na ukimuona tembea yake kama kinyonga hana haraka
Anaweka sumu yake sawa kwa ajili ya kusambaza dozi.mkuu kwanini akitaka kukung'ata sharti awe mkao wa kifo cha mende, yani lazima ageuke awe chali ndio akutusue, kwanini, kama mtaalamu unaweza ukaja na jibu mubashara
kwa mie niliyekulia kijijini nimeona watu waliokuwa waking'atwa na huyu kifutu walikuwa wanapona lakini kiungo kinakuwa hakipo ok,Huyu nyoka ni kweli ana sumu kali sana lakini ina aina mbili tofauti
Ana sumu ile ya kuua.
Kuna dawa yake ambayo ndani ya Dakika 30 utakuwa umemaliza sumu yote mwilini na utakuwa salama kabisa.
Sumu ya kuozesha.
Sumu hii huozesha sehemu aliyo kung'ata ila yenyewe haiui, pindi akikung'ata unaweza pata dawa usife lakini pale alipokuuma pataoza na kama ukipelekwa hospital unaweza kukatwa mguu ama mkono (inategemea amekuuma wapi)
Kuna dawa yake ambayo inauwezo wa kuondoa sumu hiyo ndani ya wiki moja bila kupata kilema chochote.
Hahahah mkui we unatoka mkoa UPI!mkuu ukiwa unachunga mifugo porini kuonana na nyoka mnapishana kama swila, kifutu, chatu ni vitu vya kawaida na ikitokea chatu kakamata mbuzi inabidi upambane nae ile mbaya, kuna kitu nakumbuka chatu alikosea step akaenda mdaka ng'ombe sasa ng'ombe nahisi alimuona, chatu kufyatuka na ng'ombe karuka hivyo chatu akaambulia kudaka miguu, ili amuangushe si ng'ombe akakojoa, ule mkojo kumdondokea chatu, aisee alifyatuka kama radi, nikahisi mkojo wa ng'ombe inawezekana ni sumu kwa joka lile, nilitafuta sehemu nyingine yenye jani nikachamba, ukiwa mwoga porini huwezi kwenda, yani inafikia kipindi unaona kawaida tu, kuna nyoka wengine nao sijawahi kuwaona mpaka leo lakini kule wapo, sijui siku hizi manake naona mapori mengi watu wamelima na yashakuwa makazi ya watu,
Hata mimi nilimuona walimtoa kawawa pale wakaenda kumzika changalawenilikuta wamemuua pale kawawa
Ni kwasababu tu ya kuchelewa kupata matibabu au tiba sahihi mkuu.kwa mie niliyekulia kijijini nimeona watu waliokuwa waking'atwa na huyu kifutu walikuwa wanapona lakini kiungo kinakuwa hakipo ok,