Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

Sasa kiumbe asiyejua bahati mbaya hafai, mbaya zaidi hana shambulizi la kutoa onto, ni kumaliza kazi kwa sumu

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Hakika mkuu,ukimuona paali yoyote mkimbie ukiweza muulie mbaali tu..

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Sidhani kama boomslang ni green mamba... Angekugonga green mamba uwezekano wa wewe kuwa hapa unaenjoy jf ungekuwa mdogo sana,,,,, most probably parapanda ingeshalia kitambo...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Sikuwahi kuonja sema nilikuwa namtamani tu

Wakati siye tukipiga ugali beans yeye alikuwa anasindikizia na kitoweo cha nyoka kilichochomwa vzr na chumvi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeonja usingekaa uache. Mie nilionja kwa Wachina/Wakorea waliokuwa wanajenga barabara ya kwenda Ludewa pale Mlangali. Aisee, ni kama samaki aitwaye sato.
 
Hakika mkuu,ukimuona paali yoyote mkimbie ukiweza muulie mbaali tu..

post using my macbook air using jamiiforums app
Mimi msimamo ni ule ule mkuu, simwogopi kupambana naye hivyo sitamkimbia, namponda kichwa tu. Labda black mamba ndo sijawahi kuzichapa naye, na nasikia ni moto kweli kweli... Huyo naweza kumkimbia aisee.

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Aisee! Sumu yake naskia ni dk.3 nyingi umepoteza maisha....

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Sidhani kama boomslang ni green mamba... Angekugonga green mamba uwezekano wa wewe kuwa hapa unaenjoy jf ungekuwa mdogo sana,,,,, most probably parapanda ingeshalia kitambo...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Hapana, labda nimekosea jina lakini unawajua wale nyoka wa rangi ya kijani wanaopenda sana kuwa juu ya miti e.g. miembe, mikuyu, mibuyu nk.(Ila kama unaishi mjini ni shida kuwajua) Niambie wanaitwaje. Sio kweli kwamba kila ukiumwa na nyoka utakufa. Mie nipo na nilipewa dawa za mitishamba na kupona kabisa.
Sumu yake inashambulia mishipa ya fahamu i.e ni neurotoxin na kwa hiyo madhara yake ni unaparalyse na kushindwa kupumua.
 
Aisee! Sumu yake naskia ni dk.3 nyingi umepoteza maisha....

post using my macbook air using jamiiforums app
Sumu yake inaharibu au tuseme inashambulia damu(Haemotoxin).Hivyo usambaaji wake mwilini ni haraka mno hasa pale muathirika anapopanic, kukimbia au kama ana matatizo ya presha n.k. kwani yote hayo hufanya moyo uende mbio na usukume damu (pamoja na sumu) haraka maeneo yote mwilini.Kitendo hicho kinasaidia au kinawezesha na kuchangia sana kusambaza sumu mwilini. Hiyo ndiyo sababu watu wanasema ni dk.3.Lakini endapo utakuwa mtulivu na kuacha papara ukafunga kwa kamba au kitambaa upande wa juu ya sehemu iliyong'atwa yaani kuelekea kwenye moyo ukasafisha eneo lililong'atwa kwa maji mengi au kama hakuna maji waweza kwa dharura kutumia hata mkojo wako au wa mtu mwingine kusafisha kidonda hicho utafika hospitali na kupata matibabu stahiki. Zingatia Huduma ya kwanza badala ya kuhangaika hovyo na kuona au kuamini kwamba umeshakufa.
 
Ulipokuwa unatoroka kutoka wapi mkuu? Kama ni JKT rekebisha basi.
Mkuu nilichoandika kipo sahihi wewe elewa hivyo hivyo cha kukusaidia tu pale RTS 841KJ kpnd hicho ilikuwa inafanyka course za awali za TPDF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…