Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,947
- 5,717
Cobra wapo kibao aina ya Forest Cobra maeneo ya kanda ya ziwa misituni na Mozambique Spitted Cobra kila mahali hadi jijini Dar wanaonekana wakivamia majumbani kwa watu kipindi cha baridiBongo tuna Cobra?? Eneo gani?. Ungenambia koboko sawa.
Hapa Bongo Cobra wapo wengi sana...Bongo tuna Cobra?? Eneo gani?. Ungenambia koboko sawa.
Shimba ya Buyenze amekuwa mkali kisa nini? Kijana wake si kambwela mwenyewe?[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Mpwa mkali sana sikuhizi
Tutakesha mmenitisha sana aise
Kuna vitu ni uongo, mimi nikimbize garo huyo nyoka adandie kirahisi?Kwani mkuu kila sehemu ya uvungu inakuwa na joto?
Inatibu nini?Yaa, vile vichwa wanatengenezaga dawa.
Dar yenyewe Cobra wapo wanatokea sana kipindi cha baridiDuh,
Maswali mengine Ni ya ajabu Sana,itakuwa wewe ni mtoto wa Dar hujawahi kutoka nje ya Dar kutembelea mikoani. Unashangaa cobra Tz?
Cobra kwa kiswahili ni SwilaSasa cobra na koboko tft si ni lugha au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Unanichonganisha na mpwa wanguShimba ya Buyenze amekuwa mkali kisa nini? Kijana wake si kambwela mwenyewe?[emoji16]
Nasikia huwa ni nyoka mkorofi sana,hata akiingia ndani huwa anagonga kila kitu anachokutana nacho iwe meza,ndoo,masufuria,yaan akiingia tu utajua fujo zakeExactly, Mwaka Juzi kule Uyui Tabora kuna Mzee mmoja ngo'mbe wake wengi waliuliwa na koboko ndani ya dakika chache sana. Niliona habari hii ITV
Tena bado ya moto sana na hakuna maandazi.Chai hii.
maumivu ya kuhongwa ni makalio 😂😂Maumivu ya kuhongwa na nyoka ni makalio mno ni kama nge mara saba
Anang'ata na akikung'ata dakika ishirini unawezs usifikishe bila kuitwa marehemuKwahiyo nje na kutema mate cobra hana silaha nyingine nikimaanisha labda kung'ata etc? Na je mate yake yakikupata sehemu nyingine ya mwili sio machoni nn kinatokea?
Ipo na nimeonaHii ni hadithi za abunuasi.
Unaujua uvungu wa gari wewe?
Joto lote?
Mikoa ya kusini mbali hata hapo Dar wamejaa kibao na wanajitokeza sana kipindi cha baridi hasa kipupwe pale jua linapotoka wanatoka kuota. Wana tabia ya kuongozana wawiliMozambique spitting cobra Ni wengi sn mikoa ya kusini
Ilikuaje?Ipo na nimeona
Kuna King Cobra na Cobra ni aina mbili za nyoka tofauti, usichanganye mafaili.Uyo anazungumzia koboko “black mamba”. King cobra sijawai sikia kama bongo wapo
Kuna King Cobra na Cobra ni aina mbili za nyoka tofauti, usichanganye mafaili.