Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 4,826
- 5,934
Sasa tufanyeje mkuu maana ata madaktari wanasema ule matundaSasa hivi Wafanyabiashara wana ushenzi wa kuivisha ndizi kwa umeme, yani unakula ndizi zikiwa zimeiva lakini hazina harufu halisi za kunukia zaidi ya ladha ya uchanga changa sababu zilikuwa hazijaiva kwa wakati isipokuwa zimelazimishwa kuiva kwa umeme kabla ya wakati wake halisi.
Bongo si salama kwa afya za Binadamu kabisa kidunia maana si kwa laana hizi.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app