Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
4 'cause my lucky number is 4
Wacha kuchafua hali ya hewa Mkuu, unataka wote twende kwa Mkemia kujiridhisha 🤪🙌Ndugu zake mama,kwasababu baba hana uhakika kama ni wa kwake
LikeWatoto ni ndugu zako
Hiyo nayo itaniongezea wasiwasiAma afanane na ndugu yoyote wa upande wa baba
Hayo ni maneno tu, eti uhakika, wengine tuna photocopy machineNdugu zake mama,kwasababu baba hana uhakika kama ni wa kwake
Malengo yake ni mazuri sana ila urithi wa mtoto ni elimu bora sio zaidi kupeleka mwanao hizi shule za st kayumba ni kwa 80% isipo angalia sana huyu ni potential future bodaboda dereva au konda wa dala dala, nta zaa wengi kadiri ya uwezo wangu wa kuwapa elimu bora na malazi mazuri.Salaam!
Mie binafsi wakati nipo 20s nilipanga kuwa na watoto 12 maishani mwangu. Kwa sasa nipo na early 40s ila nina watoto 3 na mama amesema imetosha hataki kabisa kusikia tunaongeza mtoto au ninamletea mtoto
Kila nikifikiria ndani mwangu, nashuhudiwa natakiwa kuwa na 12 kids, ila ukiangalia kwa maisha yalivyo tight kwa kazi zetu za kuajiriwa na huku unapeleka kids shule za magari ya njano, unajikuta kinyoooonge unakubaliana na mama kuwa watatu wanatosha
Kuna rafiki angu wa same age, yeye plan yake ni watoto 17, mpk sasa ana 8 kids. Yeye njia yake tofauti kidogo, anasisitiza, idadi ya 17 ni lazima, watazaliwa na nani hilo halina mjadala. Alimuambia mkewe ana plan ya kuzaa watoto idadi hiyo, kama anaweza atabaki nae alone ila kama hawezi ajiandae kuletewa kids, mama alimzalia 4 kids akasepa. Now ana mke mwingine na kakubali masharti hayo but mtoto wa kwanza tu, kazaa kwa operation. Kitu kizuri ni kuwa, jamaa anawatunza vyema kids wake japo anawapeleka shule za Magu hizi za bure...
This life ni ngumu mpk linatunyima kutimiza malengo. Kids are good guys, zaeni zaeni mkaongezeke.
Watoto ni mtaji kwa familia na taifa.
NB: Hakikisha unawatunza vyema unaowaleta duniani. Lidunia ni kubwa sana hatujaenea kamwe!
JE, WEWE UMEPLAN KUZAA KIDS WANGAPI?
Hao wa tatu ni wa michepuko amaNinahitaji Tisa TU. Tatu tayari Bado sita. Sita watapatikana kwenye ndoa😂😂✍️
Wana mama zao bosi,,,tuliwahi kuwa na mahusiano official kabisa ila yakaleta baraka za watoto. Sasa nasubiria ndoa kukamilisha namba ya ahadi😂😂Hao wa tatu ni wa michepuko ama
Hiyo nayo itaniongezea wasiwasi
Nowdays ndugu kwa ndugu tumekuwa tukisalitiana sana.
Labda huyo ndugu awe bibi au jinsia ya kike
Wacha kuchafua hali ya hewa Mkuu, unataka wote twende kwa Mkemia kujiridhisha 🤪🙌
Baada ya kutoka huko unakuta kila mtu anarudi na njia yake, Baba njia yake, Watoto na Mama yao njia zao 😅😅
Hayo ni maneno tu, eti uhakika, wengine tuna photocopy machine