Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Malengo yake ni mazuri sana ila urithi wa mtoto ni elimu bora sio zaidi kupeleka mwanao hizi shule za st kayumba ni kwa 80% isipo angalia sana huyu ni potential future bodaboda dereva au konda wa dala dala, nta zaa wengi kadiri ya uwezo wangu wa kuwapa elimu bora na malazi mazuri.
Elimu nayo magumashi cku hzi, ka kubeti tu. Mtoto anasoma mpk Masters ila output anayoleta inakua nothing...mtoto anaweza kuishia form 4, akiwa mpambanaji, huyo wa Mastaz anamkuta keshasonga sana kimaisha...Mungu ndo anajua. Kikubwa tuwalee kwa uthabiti
 
Back
Top Bottom