Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Una bahati una mke anapenda kuzaa! We piga mpaka wa kike apatikane...mi mwenyewe ninao wa kike wanne! Lazima nirudi
Ndugu, mke wangu anapenda kuzaa, changamoto ni namba bora ya kuwasaidia ili waje kumudu maisha yao binafsi, wakati mwingine huwa nawaza hivi nikikatika ghafla(Mungu aepushie mbali) hali ya hawa watoto itakuwaje katika huu ulimwengu uliochanganyikiwa! Huwa nabaki kumuomba Mungu at least aniruhusu niwaone wakiwa watu wazima. I love them so much kiasi kwamba wakiwa vocation na mama yao huwa sitaki wake zaidi ya wiki, wenyewe tu huwa wanamwambia mama yao turudishe kwa baba.
 
Safi sana kama umeweza kutengeneza bond na watoto...
Watoto wataishi tu hata sisi tukisepa sema ndo hivyo inaweza kua Kwa tabu au pengine wasitimize ndoto zao ukizingatia siku hizi hatuna mashamba na ndugu hujijali tu wenyewe au wenyewe hawajiwezi
 
Back
Top Bottom