Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Nikweli brother tunatofautiana.

Kama hutojali.
Unaweza kunipa sababu ya wewe kutaka kuzaa watoto?
Motive ya wewe kutaka kuzaa idadi ile uliyoisema?

Nataka nione kweli wewe si mbinafsi!
Kwa ukoo wetu tumezaliwa wanaume wawili tu, mdogo angu mkewe ana changamoto, kapata 1 kid basi. Mie nae ndo ivo watatu tu now.

My motive real ilikua kukuza ukoo wetu tu. Halafu binafsi tng utotoni napenda kukaa ktkt ya watoto, napenda watoto yani. Vile viswali vyao, challenges nk navipenda.

It is my prestige real niwe na kids wengi. Lakini yote namuachia Muumba sasa!
 
Usinambie [emoji15][emoji15][emoji15]
Ko hiyo hali inaendelea mpk siku ya kujifungua?? Aiseee!! Km hivo ngoja nikitulize [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nop. Maudhi ya mimba kwa wengi ni miezi 3 ya awali, na kuna wngn haiwi severe!
 
Duh!...una nyota ya mapacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…