Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Matatizo ya ugonjwa ya Madame B anayehusika ni Dr. PakaJimmy. Vipi Vin Diesel kwani nawe ulienda CHUMVINI unavyosema umpe chumvi??
Nilikuwa napita Jukwaa la Jokes nkakutana na hii kitu ya Jaguar nkacheka sana aisee
Najua kuna watu huwa hamuendi kule hebu muwe mnapita kabla ya kuanza kazi!
Copy kwa marejesho Kipipi Bishanga Mamndenyi Mr Rocky nivea Lily Flower Mungi Arushaone Arabela Dark City KOKUTONA YNNAH snowhite FP TANMO watu8 Chimbuvu Baba V na King'asti wengine karibuni

gas usiku unamuuzia nani? Ama unamaanisha jioni? Au uko tunduma?
Nimuota watu8,Filipo na Arushaone Wakinionea huruma mapangoni
Si ndo hapo...!Hahahaaaa.... Bwashe nimecheka aiiseeee!!!! Afu mbona kimya???
Kuwa muwazi tu,funguka,twambie usiku wa kuamkia leo umeota nini?
Bishanga nimeota gfsonwin ananitongoza,nikamtolea nje kudadadeki,chezeiya bishanga mi natoka na wanawake wa kitasha tu.
mmh...tulikuwa wanne tu???
Nilikuwa napita Jukwaa la Jokes nkakutana na hii kitu ya Jaguar nkacheka sana aisee
Najua kuna watu huwa hamuendi kule hebu muwe mnapita kabla ya kuanza kazi!
Copy kwa marejesho Kipipi Bishanga Mamndenyi Mr Rocky nivea Lily Flower Mungi Arushaone Arabela Dark City KOKUTONA YNNAH snowhite FP TANMO watu8 Chimbuvu Baba V na King'asti wengine karibuni
nimesema walionionea huruma
Nimesahau ila muda si mrefu nilikuwa naota
Dah!!! Leo nimemuota mwanaJF moja huwa nampendaga kwa moyo ila akili inagoma. Kuna siku naye alinambia kuwa kaniota.....
Duh ngoja niishawishi akili ikubali make limoyo langu ndo lishamdondokea thou huwa siendekezi moyo kha!!!!!!!
mkuu umeotwa na charmingladyhahaha nami nauliza tu....
BTW: waendeleaje??
mkuu umeotwa na charminglady
Ngoja aje hilo timbwili lake mi sipo....