umeota nini leo?

Nimeota na mapesa mengi kama mobutu seseseko kuku wazabanga ndio nilikuwa kwenye mkutano na management ya wizara ya ardhi waniuzie mikumi yote ndio ile nataka kudondoka sign tu alarm ya simu ikaita saa 12 asubuhi nikastuka!
ndoto yako na itimie ,
wote semeni eimeen
(source😡asprin)
 
Nakumbuka, kipindi hicho nilikua juu juu kama tiara, but kipindi hiki nipo ki binadamu zaidi tena alie kamilika.
hongera sana maana enzi zako kuna siku ulinitupia PM nikasema dah hii reggae.
 
Ndoto yangu ilikuwa hivi....Marejesho kamfumania Filipo white party dar ndoa Ika vunjika nami nika chukua usteering... ..members wakasema natumia kizizi.....!!!!
 
Nilikuwa napita Jukwaa la Jokes nkakutana na hii kitu ya Jaguar nkacheka sana aisee
Najua kuna watu huwa hamuendi kule hebu muwe mnapita kabla ya kuanza kazi!



Copy kwa marejesho Kipipi Bishanga Mamndenyi Mr Rocky nivea Lily Flower Mungi Arushaone Arabela Dark City KOKUTONA YNNAH snowhite FP TANMO watu8 Chimbuvu Baba V na King'asti wengine karibuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…