Umeoa Msukuma?

ooh come on cuzzo (you're my cousin, remember?) we agree on working out and being in shape, don't we?

wewe, we need to meet at the gym, tufuaneeeee mpaka kieleweke!, that's when you'll know am a REAL SUKUMA AND PROUD TO BE ONE
 
Pia wanajua sana sana kupika nilikula ugali uliopikwa na msukuma kwa matembele na nyama ya ng'ombe (chukuchuku=haina nyanya wala vitunguu) yaani sikuwahi kula nyama tamu kama ile na matembele mazuri sana. Hawa wanawake pia wana adabu za hali ya juu.

Did you just mention matembele??!!!, maaaaaaaaaaaaaaaan, wanikumbusha mbali, mate yashaanza kntoka!
 
wewe, we need to meet at the gym, tufuaneeeee mpaka kieleweke!, that's when you'll know am a REAL SUKUMA AND PROUD TO BE ONE

ok, i'm game...so bring it on cuzzo. manake najua basukuma wako tough sana. sasa tutaona kama kweli wewe ni chapa ng'ombe au ni maneno tu.
 
ok, i'm game...so bring it on cuzzo. manake najua basukuma wako tough sana. sasa tutaona kama kweli wewe ni chapa ng'ombe au ni maneno tu.

Wanna make a deal?
 
Naongelea Msukuma aliyezaliwa huko na pia mwenye makuzi ya kisukuma pyua!

Unajua, mtu kama mimi nimezaliwa kijijini kwangu, nimesomea huko Primary na sekondari, na kuondoka huko! Kila likizo nilikuwa naenda nyumbani.

Sasa mtu kama mimi siwezi kuwa mbabaishaji wa mila na dasturi za kwetu, nilichofunzwa toka kuzaliwa hadi namaliza shule za huko kinatosha kabisa kuwepo maishani mwangu forever, hata kama ningekaa Amsterdam miaka 20, vinginevyo nitakuwa limbukeni wa kishenzi kabisa!
 
Hawatakuchukua msukule kweli manake nasikia kwa ushirikina usipime😀
 
Mimi pia,najivunia kuwa Msumkuma aisee
Makabila yote yana shortfalls fulanifulani, kwahiyo mtu asijione duni kuwa katika kabila fulani, au kuambiwa jambo fulani linaloudhi wengine juu ya kabila lake!..

Mtu anayedharau kabila lake au kule alikotoka, basi huyo ana shida kubwa ya akili!

Big Up Mkuu kwa kuweka wazi juu ya hisia zako kwa kabila lako, nami natangaza hapa kwamba nalipenda saana kabila langu!
 
Mapungufu ya wanawake wa kisukuma ni makubwa zaidi ukilinganisha na makabila mengine kama Wahaya,Wachagga,Wanyakyusa,Warangi,Wadigo,Wazigua,Wasegeju,Wamakonde,Wayao,Wakiroba,Wakerewe,Wakwere,Wamakua,Wabarbaig,Wairaq,Wanyamwezi na Wangoni.
Ushauri wa bure ukiwakosa wanawake wa makabila niliokutajia si vibaya ukikimbilia usukumani.
 
My lovely brother, and the only son in our family wants to marry a sukuma, so i really hope all these good things you are talking about sukuma women are true.
 
nimeolewa usukumani, hilo unalosema ni kweli kabisa, yaani vyasaka noma.
 
Mim siijui mila hata moja ya kabila yetu na hata kuongea hiyo lugha sifahamu.Iam born town na nimekulia tauni.Mambo ya makabila siyamind Kwa hiyo kila kabila kwangu ni poa tu,hata wachina na wajapan sawa tu.
 
He! Leo umeamkia upande gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…