Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,633
- 6,229
Nyie hamfahamu tu. Mabinti wa Kiswidi/Scandinavia ndiyo wenyewe.
Weupeeee hadi nyweleeee ahhh hadi kope. Kingozi cheupeeee, Mnyamwezi nimefika. Halafu uzuri hata mahali ya ng'ombe silipi. Sema tu viko sharp sana maana ukikituma dukani, usishangae kwa kipindi cha dakika 15 kikarudi kimeshamgawia mtu uroda.
Ila ndiyo alama kuwa mtoto ni mzuri na kama walivyosema wengine, utamu wa pilipili ni muwasho wake. Haya Wasukuma/Wanyamwezi, safisheni ngozi za wanenu ili mpate mahali ya mang'ombe mengi usukumani. Mwenzenu sikuwahi na sasa ni nimechelewa maana viza ya Scandinavia kwa mtu anaishi Mabonde kwinama, kazi kweli. Ila hata huyu Mnyangala wangu hapa, kwa kweli ni poa sana. Mtoto wa Shilinde family si mchezo ati......