Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 755
hivyo charity alivyosema mnavirevesi......kama kufua locks............
Kufua kufuli ya mpenzio is one of the most romantic thing ever............!!!! 🙂 Watu hawajui tu!
hivyo charity alivyosema mnavirevesi......kama kufua locks............
Unaonekana kaCV kazuri sana kwenye engo hizi.Honestly, kuogesha raha sana!![]()
![]()
Unaonekana kaCV kazuri sana kwenye engo hizi.
Kufua kufuli ya mpenzio is one of the most romantic thing ever............!!!! 🙂 Watu hawajui tu!Au nalo hilo linahitaji kufunguliwa shule/tuisheni?![]()
Unaonekana kaCV kazuri sana kwenye engo hizi.
Ni kweli! 🙂 I am old enough to have had several experiences! 🙂
naomaba umsaidie na Fidel kauzoefu kako bila kumsahu papaushka wa Charity who is my big bro!!!
these guys are pigheaded!!!!!!!!!!
I am not sure if it is easy to teach an old dog new tricks! 🙂 Not so sure!!!
Usikate tamaa.wewe si mfianchi.na leo upo kiufianchi zaidi.I am not sure if it is easy to teach an old dog new tricks! 🙂 Not so sure!!!
Mbona wanyakyusa nao bomba tu.au wasafwa jirani zako.Jamani hizo sifa kweli nasikia wanazo kwaiyo mnataka hata sie watu wa UJIJI mwisho wa Reli twende usukumani kuoa???
suprising enough these old dogs are ready to learn new tricks amabazo wanajua wenyewe zina maslahi 'binafsi zaidi' kwao despite the fact that ni mbaya hata kwenye macho ya Mungu...(dont ask coz i wont answer)
ila kujifunza jambo kama hilo its just too new a trick for an old dog!!! haya bwana!!
nasubiri bullets.....I won't ask, but I know you have pulled the trigger my dear....wait and see wakitoka huko waliko! ........ 🙂
Ndiyo shemeji, hao ni mabinti wa Sweden yaani Sverige.sasa shem hao ni wa huko sweeden au wapi tena???? sijakusoma
Hilo hapo kwenye red nalo ni kabila ndani ya Tanzania? Liko mkoa gani? Ndio nalisikia leo!
Ndiyo shemeji, hao ni mabinti wa Sweden yaani Sverige.
Ndiyo Mkuu, wapo pale Nkinga Mission Nzega. Ndiyo waliomwaga hadi vifaa vya kwaya ya Nkinga. Pale wapo wengi tu na vitoto vyao hadi vinaongea Kinyamwezi.
Hapa chini ni mmoja ambaye anaishi Sikonge kwa sasa na hapa alikuwa sehemu inaitwa Madukani, ambapo kuna soko na mizambarau kibao.
![]()
nimekusoma shemNdiyo shemeji, hao ni mabinti wa Sweden yaani Sverige.
Ndiyo Mkuu, wapo pale Nkinga Mission Nzega. Ndiyo waliomwaga hadi vifaa vya kwaya ya Nkinga. Pale wapo wengi tu na vitoto vyao hadi vinaongea Kinyamwezi.
Hapa chini ni mmoja ambaye anaishi Sikonge kwa sasa na hapa alikuwa sehemu inaitwa Madukani, ambapo kuna soko na mizambarau kibao.
![]()
Duh! Sasa hao sio Watanzania mkuu! Hao ni Wa Sweden! Hapa tunajadili makabila ya Watanzania!
cjasema hivyo luv, kaka zangu ni wachakarikaji sana tena sana nawa salute kwa hilo, kwani luv ukishaniletea matumizi ndani ndio mchezo umeishia hapo?btw cku hizi makabila mengi yanajitahidi sana kwenye uchakarikaji wa kutafuta sumni, kama kuna alielala acamshwe.....
Mkuu,
Ndiyo maana USA kuna African-American. Nchi inakua na mambo yanabadilika.
Tanzania siku za mbeleni itabidi tuweke kabila la Waarabu, Wahindi, Waswidi, Wasomali, nk.
South Africa bendera yao ina rangi NYEUPE. Sasa Mke wa Prof. Sarungu si Mtanzania yule? Utamuweka kabila gani? Na hawa akina dada kama wanaongea Kinyamwezi/Kisukuma utawaweka kabila gani? Au ndiyo ubaguzi?
shem jamani,wariidi na miiba tena? litakuwa waridi la kichina hilo sio nachuroooo.
Dah nimekubali.Yani huyu ni mswidi-mtanzania halisiNdiyo shemeji, hao ni mabinti wa Sweden yaani Sverige.