anaweza kukuuliza labda anaona una dalili za kupenda kubadilibadili wanawake.MF km anajua ulikuwa na mwingine ukaachana nae halafu ukawa nae.lkn ukabadili caller tune yako ikawa ni ya kujutia kuachana na mpenzi.KWA mwanamke MWENYE akili hawezi kuvumilia so atajiuliza KWA Tania hiyo umeshakuwaga na wangapi?
Bby mbona uko bizy? bby mbona haujibu sms zangu? bby mbona haupokei simu, uko na nan?
hapa huwa nachukia sana.......afu unakuta missed call 78, sms 10......dah. Najiuliza nimekosea kutokujua medical history yake kwanza.