Umenioa nije kwako kula na kulala?

Umenioa nije kwako kula na kulala?

umemaliza kabisa....kwanza mkishinda home siku nzima pamoja lazima mzinuguane..... unapewa kamuda kafupi tuu over the weekend.......nani kamuoa mwenzake.....
Kama unadhani ndoa ni kulisha na kuvisha mke hivyo hata mzazi wangu alivimudu.
 
Kama unadhani ndoa ni kulisha na kuvisha mke hivyo hata mzazi wangu alivimudu.
ukiona huwezi sepa bana.... nyie ni wasumbufu balaa....hata mfanyiwe nini....kigeu geu milele......weekend zangu site..... nikirudi nimekolea....habari ya mda sina
 
Iv kabla sijaenda kazini huwezi nipikia hyo breakfast ad wkend tu?
Msitufuruge bana.
Ndiyo hapo sasa, kuwahi traffic unaondoka nyumbani saa 11:00 alfajiri, sasa mimi nikitaka kutengeneza chapatti na mbaazi inabidi nilalale jikoni ili viwe tayari saa kumi asubuhi,
 
Nikisema nishinde nyumbani utakuja tena kutoa ujumbe jf ''eti mume wangu ananibana muda wote yupo nyumbani'' HVI NYINYI WANAWAKE TUWAFANYIE NINI HASA.??
 
Wanawake hawajawahi kuwa na jema, ikitoka shida (umeenda michepuko) usipotoka shida (mwanaume suruali) ndiomana wanaume tunajifanya kama hatuna time nao mida mingine
 
Hivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kujaza fridge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa nane usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au mzazi wangu wangu alishindwa kununua luku?

Weekend ndiyo muda wa kuongea na wewe. Monday to Friday unawahi kazini acha J'mosi nikupikie breakfast tuongee, ikiwezekana basi kufanya shopping wakati ninasafisha nyumba tule pamoja then unaweza kuwa na masaa mawili matatu na marafiki zako lakini unawahi kurudi nyumbani.

Kama unaenjoy sana company za marafiki mpaka saa nane usiku basi hukuwa tayari kuoa.


Mwambie tu huyo Mwanaume kuwa wewe ndiyo rafiki yake Mkuu kwani nini arudi muda huo Mbaya? Sky Eclat mvunjie ukimywa mwambie unamhitaji na unahitaji akusukutuwe haswa na muwekee ratiba kuwa kila weekend hutakuwa unavaa pichu yaani muda wote akusukutuwe tu na kama ni hhizo pombe basi nunu aina zote anazopenda muwekee ndani na mpikie supu yaani mwambie ukweli.. Tatizo hamsemagi mnataka watu wajiongee kitu ambacho kwa mwanadamu kukumbushwa siyo dhambiii...

Ukija Kulalamika huku Ambako huyo Mwanaume wako hayupo siyo kwamba umemsaidia ila unasononesha Nafsi yako. Ila leo nimekupenda hujasema kuwa kuna shoga yako ambaye analalamika .. Safi sana @ Sky wetu..

Hivi Umeolewa kweli au ni Mbwembwe za humu kuna watu wapo serios wanakuhitaji unajua
 
Wanawake bana cjui huwa mnataka nn hasa kila kitu naona huwa tunawakosea tu
 
Back
Top Bottom