MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Mbu unantaka mimi lakini we mwanaume!!...ha ha ha, Maty you are on fire leo e mama weeee!? nani huyo tena kakununia baada ya application na CV yake kukataliwa?
haya basi msitiri,....Very nice of you,...maana umegusia miongoni mwa points zangu za awali kabisa kwenye uanzilishi wa hii topik;
...ila wapo pia kina dada ambao nao huchukia kweli kweli iwapo mwanaume ataanzisha mahusiano na shoga yake (badala yake,) matokeo yake hata urafiki wao utalega lega au kufa iwapo mrembo nae atakuwa na msimamo thabiti kutetea mapenzi yake kwa mwanaume.
lol yaani hiyo ya mwisho hapo inahuu kabisa. Duh umenikumbusha mbali sana enzi hizoooo nlishanuniwa na shoga yangu mie, yaani alikuwa kila tukimwalika tutoke naye nakwambia anakubali kalini mkifika tu anaanza nuino hilooo ukimwulza mara oh kichwa chauma, mara ah sijisikii vema almradi visa.......ila toka kidogo tu wende maliwato ukirudi unamkuta anajichekesha .........ah dada yule sitomsahau kwa vituko!! mwee............ I hope shes happy huko aliko!!
ila nafikir ni ile hali ya kuwa anampenda yeye lakini kwa vile anashindwa ku'mwambia' basi analiachia gurudumu likenda kwa mwingine ndo urafiki unakufa!