Konya
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 921
- 114
nimemsevu 'low betri' afu na kamlio nimemchagulia kakizushi, then sim ikiita wife akiona huwa ananiwekea kwenye chaja anajua ni kweli low betri kumbe kidosho
dah!unatisha..
nimemsevu 'low betri' afu na kamlio nimemchagulia kakizushi, then sim ikiita wife akiona huwa ananiwekea kwenye chaja anajua ni kweli low betri kumbe kidosho
hahahaaaa... hii kali sana aiseeemdada kachukua simu ya mpenzi wake akaibip ili aone mpenzi wake kamsev kwa jina gani. Akajua litatokea jina kama Wife, honey, sweety au mpenzi. Lahaula jina lililotokea Agustino Fundi Majeneza.
dah!unatisha..
HAHAHAHAAA Huko mi simo aiseeeeanatisha wap mkewe hajasoma huyo