Babu noma yaani ndiyo kafumania nyavu!!!! Mimi namiss sana Washawasha aka zee la kulog off, malaria sugu bila kuwasahau wadau wangu Blaki Womani mtu wa watu na dada wa makavu live Preta tehe tehe
Dah mi ni wa kutemwa Blaki Womani?
Hivi Eliza wa Tegeta yupo?
Dah mi ni wa kutemwa Blaki Womani?
nimekumissje kesho nakutafuta tukanywe sparleta looo!!! nimemiss Kabakabana huyu mdada WiseLady