Umeme ulipokatika!!

LIZZY

Haya wee embu niambie naona unaujuzi zaidi humu maana nimejaribu sipati

Je unawezaje kujibu haraka haraka humu unajuaje kuwa post imeandikwa unapata notifications kwenye mobile?

Embu niambie namie nijue maana niliset kupata notifications ila inabidi niwe kwenye pc au pcmode on mobile phone ndio nijue
 
Invisible hua ananitext personally!
 
wana Jamvi
nilipokuwa napata dinner jioni hii, ghafla Umeme ukakatika.
nikakumbuka miaka 11 iliyopita.
ilikuwa jioni moja tumekaa mkekani tunajiandaa kula ilikuwa ni ugali na samaki na mchicha ghafla umeme ukakatika,nikainuka kwenda kutafuta Taa ya Chemli nikavaa Kandambili zangu wakati nakatisha katika ya chakula mguu ukatua ndani ya bakuli la mboga yaani samaki! haraka haraka nikautoa na sikusema kitu nikaenda kunawa nikaleta taa nikawasha tukaendelea na kupiga Menu kama kawaida lakini sikula samaki wala mchuzi mpaka mwisho nilikula mchicha tu.
nimeikumbuka hii jioni hii mara baada ya umeme kukatika wakati nakula
haya ni baadhi ya madhala ya kukatika bila taarifa.
KAMA NA WEWE UNALO LAKO UNAWEZA KUTUJUZA

Halafu wewe Bana umenifanya nicheke:biggrin1::biggrin1: eti hukula samaki kabisa...

:A S-rose::A S-rose:
 
Sasa nimekujua weye ni mmoja wa mods au unajiggonga kwa invisible kwa kukalia jf 24/7

Ukitegemea kupewa cheo au?

hahaa haaa ulijuaje mkuu???
kuna watu kama Lizzy wana mambo ya kitoto sana kisa akichekewa na Mods kule ndio anataka kujifanya yeye anajua kila kitu,
Halafu nimegundua kitu kingine mtu kama huyu ni mchonganishi mkubwa kazi yake ni kuwachongea watu wawe wanakula BAN,
kitu ambacho sio fair kabisa,
Achana nae asikuumize sana kixhwa
wakina Invisible na Max wangekua na roho kama ya Lizzy (kujifanya superior)
JF isingefika hapa, huwezi amini, Jamaa wapo tayari kuchoma mafuta kukufuata ulipo ili kuja kukusaidia tatizo lako
lakini Lizzy?????
DADA BADILIKA.....
 
Tulikuwa Grocery moja Ifakara. Kulikuwa na jamaa amekaa mna mke wa mtu. Basi umeme ulipokatika kukawa na hali ya kutulia flani mara uliporudi ghafla tukakuta jamaa kampinda mke wa mtu kwenye ukuta. Ikawa gumzo mji mzima ......
 
tehee teheee, TANESCO bana!
 
Umeona mkuu (kisa ana cheki na kina Invisible na Mods), ana mtimanyongo nikiwa kwenye computer nitakugongea like ili uone notification

Hahahahha...mnalo!!
Mtima nyongo JF tena kwa vivuli vya watu na sio watu?!Kaaazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom