Umeme ulipokatika!!

miss you too dearest,yaani najisikia uvivu kufikiri na kuandika,ndo maana nimeacha ile useful thread ya Gaga,nikaja huku umeme ulipokatika:biggrin1:


Kumbe nawe wapenda giza eeeh??? mwaga reasons hapa....lol:dance:
 
Fellow T1 asante dear kwa compliment...
ila naamini hakua na nia mbaya member aloongea hivyo
naona aliona imekaa kisoga zaidi...
Hata hivyo naona hamna lililo haribika..

Hana lolote huyo....
 
Duh
Hasira za nini kuwa kama Asha D,


Sasa FT1 hapa inaonesha wewe ndo mwenye hasira mkuu, kila ukiguswa washtuka, jiachie kidogo bana!
hapa ni full utani na Lizzy ni moja ya watu rational saana hapajamvini...
sisemi hivyo sababu ni partner hapana.. but ni mmoja wa waelewa sana
Alafu pleease in the future usifananashe one member with another
yaweza leta chuki kati ya members bahati nzuri saana mimi
na Lizzy tumeshibana... Sorry kama nitakua nimekuudhi sina nia mbaya..
 
Sina hasira ila nataka uache kuleta thread zisizo na mantiki jamvini...(.kama umeme umekatika si uwashe chemli au kibatari)?!

Invisible na Mods ndo huwa wanajua kuwa thread haina mantiki, wewe ni Mwanachama tu, soma na changia, na kama umekwazika report kwa Invisible aiondoe,
kwenye mabano hapo naomba nikupe quiz ya kusoma tena thread nadhani hukuelewa.
 
Invisible na Mods ndo huwa wanajua kuwa thread haina mantiki, wewe ni Mwanachama tu, soma na changia, na kama umekwazika report kwa Invisible aiondoe,
kwenye mabano hapo naomba nikupe quiz ya kusoma tena thread nadhani hukuelewa.

Sasa mi nakwambia najua...HAINA MANTIKI!!
 
Back
Top Bottom