Umeme ulipokatika!!

Umeme ulipokatika!!

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
19,940
Reaction score
45,557
wana Jamvi
nilipokuwa napata dinner jioni hii, ghafla Umeme ukakatika.
nikakumbuka miaka 11 iliyopita.
ilikuwa jioni moja tumekaa mkekani tunajiandaa kula ilikuwa ni ugali na samaki na mchicha ghafla umeme ukakatika,nikainuka kwenda kutafuta Taa ya Chemli nikavaa Kandambili zangu wakati nakatisha katika ya chakula mguu ukatua ndani ya bakuli la mboga yaani samaki! haraka haraka nikautoa na sikusema kitu nikaenda kunawa nikaleta taa nikawasha tukaendelea na kupiga Menu kama kawaida lakini sikula samaki wala mchuzi mpaka mwisho nilikula mchicha tu.
nimeikumbuka hii jioni hii mara baada ya umeme kukatika wakati nakula
haya ni baadhi ya madhala ya kukatika bila taarifa.
KAMA NA WEWE UNALO LAKO UNAWEZA KUTUJUZA
 
Umeme ukikatika hunichanya kabisa maana hamna ninachopenda
hakiitaji umeme... basi hata akili inakua hajatulia fulani..
 
Sasa unaweka mambo ya umeme hapa ili iweje?!
 
Mi nafikiri ungepelela kwenye Joks/utani!
 
Sasa unaweka mambo ya umeme hapa ili iweje?!

Punguza .......
Mod atapeleka mahari pake
Lakini hii thread ukiangalia imekaaa
Kifamilia zaidi nahisi hapa ni mahari pake,
 
great thinker kweli.....useful thread,thanks!
 
Umeme ukikatika hunichanya kabisa maana hamna ninachopenda
hakiitaji umeme... basi hata akili inakua hajatulia fulani..

Thanx Asha D
unachangia ulichonacho moyoni, kuliko watu wengine wanajifanya wanawafundisha wakina Invisible na Mods jinsi ya kupanga thread.
kama mtu huna cha kuchangia soma na upite.
 
umeme ulikatika siku moja.......

ngoja niishie hapa.....
 
Thanx Asha D
unachangia ulichonacho moyoni, kuliko watu wengine wanajifanya wanawafundisha wakina Invisible na Mods jinsi ya kupanga thread.
kama mtu huna cha kuchangia soma na upite.

Muone vile...unataka sifa tu umekua JK wewe?!
 
Thanx Asha D
unachangia ulichonacho moyoni, kuliko watu wengine wanajifanya wanawafundisha wakina Invisible na Mods jinsi ya kupanga thread.
kama mtu huna cha kuchangia soma na upite.

Fellow T1 asante dear kwa compliment...
ila naamini hakua na nia mbaya member aloongea hivyo
naona aliona imekaa kisoga zaidi...
Hata hivyo naona hamna lililo haribika..
 
Fellow T1 asante dear kwa compliment...
ila naamini hakua na nia mbaya member aloongea hivyo
naona aliona imekaa kisoga zaidi...
Hata hivyo naona hamna lililo haribika..

Asha D, asante kwa hekima na busara zako dada yangu
wadada wote wangekuwa na hekima kama wewe humu Jamvini
ingependeza sana.
 
Umeme ulipowaka ukakuta tumechokaaaaa!!
 
Michelle nilikumiss, nilipokuona kwenye uzi wa Gaga ndo kabisaaa!!
miss you too dearest,yaani najisikia uvivu kufikiri na kuandika,ndo maana nimeacha ile useful thread ya Gaga,nikaja huku umeme ulipokatika:biggrin1:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom