MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,229
mkuu Umeme haukatiki wala kuvunjika............. Unazimika au kuzimwa.........lakini ikitokea umekatika kweli basi huo uliobaki endelea nao kunyolewa......wale wapenzi wa kunyolewa, upo chumba maalumu cha kunyolewa nywele lakini kwa bahati mbaya umeme ukakatika kinyozi akiwa katikati ya kichwa, huwa mnafanyeje.? unaondoka hivyohivyo.? au unasubiri hadi Tanesco waludishe umeme wao?