Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,170
- 190,729
Nimechepuka kwa mara ya kwanza sababu ni hio ila KE akiwa sio msumbufu tunaenda sawa full malove
Nimechepuka kwa mara ya kwanza sababu ni hio ila KE akiwa sio msumbufu tunaenda sawa full malove
Hahaha, kunivimbia kiutani is very okay. Ila ukinivimbia ile ambayo siyo ya kiutani naku-ignore tu ili kujiepusha na mengi.
Haha sawa nimekupata honeyNimechepuka kwa mara ya kwanza sababu ni hio ila KE akiwa sio msumbufu tunaenda sawa full malove
Bwana weee.. mnasemaga mnatafuta ladha ya tofauti njeKama mke jeuri hatoi mzigo kwa uhuru kuchenjua nje kama kawa yani. Toeni ngenya bila masharti muone kama kuna mtu atachepuka
Kwa hali yoyote ile lazima itakuwa kuvimba kwa utani
Kama hiyo familia haikupi furaha Ni afadhali ukasepa tu.mnhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
hujanielewa
nilikua namaanisha je uko tayari kuitoa sadaka familia yako,ili uwe na mchepuko au uwe na familia nyingine??
Kukabiliana na mapungufu,ni mambo ambayo tunachunguzana tukiwa wachumba sio tumeoana na familia tayari,
ukiwa kwenye ndoa na kila siku mnavutana,ni makosa yenu wenyewe kuoana kabla hamjajuana vizuri,in which makosa ni yenu ,sio familia mliyoianzisha,!
siwaelewagi watu wanaoacha wake zao au familia zao kabisa!!!.....
Mkuu, viumbe wote wa kiume Ni bulling in nature.Kwamaana yako ni kwamba mwanamke ndio anapaswa kuwa mvumilivu kupita kiasi si ndio???????
Is that something to be proud of? MxiiieewwwMkuu, viumbe wote wa kiume Ni bulling in nature.
Na viumbe wa kike wanajisikia safe kuwa na mwanaume mbabe.
Sasa mwanamke usipojifunza kuvumilia kuliko mwanaume hiyo ndoa haidumu.
Kama umeolewa jiulize, Ni makosa mangapi mumeo kayafanya ukamsamehe ila yeye huwa anakusamehe kwa manati?
BoooIs that something to be proud of? Mxiiieewww
...BIG NO, Rebecca...Mkishakua na familia,hamupaswi kuwa selfish kwa kuweka needs zenu mbele...
badilisha mind set mkuu..
unaoa/kuolewa sio tu kugegeda tu ni kuanzisha pia familia unayopaswa kuilinda...
By the way,hakuna ndoa isiyopitia magumu,kama wenzako wamepitia vipindi vigumu na kupita salama,why not you...u sacrifice everything in the name of mchepuko?? NO!

Ladha ya wife ndio bora zaidiBwana weee.. mnasemaga mnatafuta ladha ya tofauti nje
Nakubaliana na wewe ila usiwe na mawazo potofu ya kulipiza kisasi kwa kuchepuka. Maana hapo ndipo mapanga hutamalakiUmeandika as if wanaume hawachepuki kabisa
Hebu acha kuegemea upande mmoja basi....wanaume wanachepuka zaidi ya wanawake!
Tena siku hizi ndio wameanza kuona kama ni haki yao kumiliki mchepuko
Hata sisi hatupendi unafki
HoneyBooo
Nakubaliana na wewe ila usiwe na mawazo potofu ya kulipiza kisasi kwa kuchepuka. Maana hapo ndipo mapanga hutamalaki
Ingekua bora usingetafuta zenye ubora wa kawaida nje.Ladha ya wife ndio bora zaidi
Sasa mwanaume usichepuke kwani umekuwa Yesu? Ujinga ni mwanaume kuchepuka mpaka mwenza ajue....Bwana weee.. mnasemaga mnatafuta ladha ya tofauti nje
Tatizo hana ushahidi kama nachepuka. Na hii ndio silaha ya ndoa imarababu bibi sky anasoma unayoyaandika ujue
Sio wote mamiIngekua bora usingetafuta zenye ubora wa kawaida nje.