Umemchoka mwanaume omba talaka

Umemchoka mwanaume omba talaka

Ni kweli nyumba zingine ipo hivyo, si mnachukuana mnaenda kwako?
Sina sababu ya kulipa pango kama napangiwa kuja.

Isitoshe kuna wengine wanakwambia eti mwenye nyumba hataki wageni wa kiume, so nilipe kodi, nilipe hela ya hotel (guest) kila wiki?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye unoko unoko naungana na wewe
Hivi Don una miaka mingapi?ujue sometimes nakuonaga kama mbaba vile tena mkali mkali mixer mnoko

Ila nikikukuta uzi wa liver kule nakuona kama kaka yangu wa kwanza tu sio mkubwa sana
 
Hivi Don una miaka mingapi?ujue sometimes nakuonaga kama mbaba vile tena mkali mkali mixer mnoko

Ila nikikukuta uzi wa liver kule nakuona kama kaka yangu wa kwanza tu sio mkubwa sana

Ile ya juu ndiyo sahihi zaidi.

Jumlisha 15±1 kwenye miaka yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom